Posts

Showing posts from January, 2019

UTATA MTUPU SAKATA LA SPIKA, CAG. Wakati mvutano wa hoja kuhusu sakata la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukizidi kupamba moto, kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka amesema endapo CAG ataona ni vigumu kujieleza mwenyewe mbele a kamati hiyo anaweza kwenda na mwanasheria wake. Mwasaka ambaye pia ni mbunge wa Tabora Mjini(CCM), amesema pamoja na kuwa CAG ni taasisi huru, lakini hayupo juu ya sheria na alichofanya Spika Ndagai kumuita mbele ya kamati ni sahihi. #DuniaYako

Dunia yako http://bit.ly/2FmgPBp