Salim msangi DOLA YA KISHETANI NA USHOGA Ep. 5 Season finale QUEEN LATIFAH! MADONA NA WASANII WENGINE WAKISHIRIKI KUFUNGISHA NDOA YA MASHOGA KWENYE 'GRAMMY AWARD. Ukitaka kufanya uchafu wako hadharani na usipingwe na yeyote hata kwa kuoneshea kidole; ni kuirubuni jamii kiasi ione uchafu huo ni jambo la kawaida, na siyo ‘big deal.’ Ukiufikisha umma hapo, kiasi cha kuona uchafu huo ni sehemu tu ya maisha na siyo kitu cha ajabu, basi utaweza uufanya uchafu wako mchana kweupe wala hakuna atakaye shughulika na wewe Yes, hicho ndicho kinacho fanywa na kazi za wasanii mbalimbali na kwa nafasi zao na kwenye maisha yao, uone mwanamke kujiweka kama mwanaume na kinyume chake ni ishu ndogo sana. Na hivyo ushoga siyo deal, ni maamuzi ya mtu. Ni sawa kabisa kusema ni maamuzi ya mtu, lakini si sawa maamuzi hayo kuyafanya yawe ni maamuzi ya kila mtu. Hicho ndicho wanacho fanya na ndicho ninacho kipinga katika mfululuzo wa po...
Salim msangi Freemason na alama za siri mikononi. Kama ambavyo tutakavyo ona Freemason na wenzao wanaabudu miungu wengi katika majina mengi tofauti, katika kutekeleza ibada hizo au kuonesha utii kwa miungu hao, maadui zetu wamechagua njia mbalimbali, alama mbalimbali zikiwemo hizi zinazo fanyizwa kwa kutumia viungo vya mwili. Freemason wote wa YORK RITE, SCOTTISH RITE, SKULL & BONES, na katika kila asasi ya siri za kishetani kwenye mstari huu wa Illuminanti, wanayo aina fulani ya kusalimiana na aina fulani ya alama zinazo fanyizwa na mikono yao, alama hizo huwa na maana mahususi kwa wanachama. Kwenye buku rejea la freemason (Masonic Encyclopedia) imeandikwa hivi, “Mkono ni muhimu sana kwa freemason ... kwani sababu na lengo la kupokea utambulisho hufanya kwa mkono.” MWANACHAMA KATIKA ROYAL ARCH AU SEVENTH DEGREE, UNAWEZA KUIKUZA HII PICHA NA KUSOMA KILE KILICHO ANDIKWA CHINI YAKE. Alama hizi za kimasonia, ni lugha ya kimataifa baina yao, huizu...
Comments
Post a Comment