Posts

Showing posts from July, 2018

UYOGA CHAKULA KITAMU NA TIBA YA MARADHI.

Image
UYOGA CHAKULA KITAMU NA TIBA YA MARADHI. Uyoga ni  chakula, tena wanaokifahamu  vizuri wanakwambia  ni  chakula  kitamu. Mbali ya kuula , Uyoga UYOGA una faida nyingi kwa binadamu. Uyoga  kama  chakula  una tumika kwa  namna nyingi tofauti naunaliwa  karibu katika  kira sehemu  duniani. Wakati kwa AFRIKA, UYOGA unaonekana kwamba nichakula  cha  kawaida ,kwaULAYA na MASHARIKI MBALI (ASIA) ni chakula muhimu na cha gharama  kubwa. kwa leo nitaelezea uyoga aina chaza  (OYSTER MUSHROOM) Pleorotus  florida (PFM) – mweupe Pleorotus floridanus(PFST )-Kahawia na wa porini. Uyoga wa Pleorotus  florida (PFM) na Pleorotus Floridanus (PFST) ndio unaolimwa sasa katika mikoa ya mbeya, iringa, Ruvuma,  Morogoro, Rukwa,pwani DSM, Arusha ,Kilimanjaro ,NK. Watanzania naomba tuc...