Chadema yailalamikia Nec






Chadema yawasilisha malalamiko yao ofisiza NEC.

Kuelekea Uchaguzi mdogo wa jimbo la Kinondoni, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho wamekwenda makao makuu ya Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC kudai viapo vya mawakala wa chama hicho katika uchaguzi huo.


Baada ya kufika katika ofisi hizo leo, Mbowe na viongozi hao wameelekea moja kwa moja katika ofisi za Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Ramadhani Kailima.


Mbowe amewaambia waandishi wa habari kuwa wamefika ofisini kwake hawajamkuta hivyo ikawabidi wapige simu yake ya mkononi, na baadaye kubainisha kuwa Mkurugenzi huyo amewataka waorodheshe madai yao na kumpa taarifa hiyo.
Ambapo Mbowe amesema Chadema ina malalamiko mbalimbali kwa NEC,

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

FREEMASON NA ALAMA ZA SIRI MIKONONI