Dr. slaa kuapishwa leo kuwa balozo
Dkt. Slaa kuapishwa rasmi leo kuwa balozi Sweden
Dkt. Slaa kuapishwa rasmi leo kuwa balozi Sweden4 mins ago
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Februari 2018, atawaapisha Mabalozi wawili aliowateua kuiwakilisha Tanzania katika nchi za Nigeria na Sweden.
Akitoa taarifa hiyo Katibu Kiongozi, Balozi John Kijazi amesma kuwa mabalozi hao watakaoapishwa ni Muhidin Ally Mboweto ambaye ameteuliwa kuwa wa Tanzanaia nchini Nigeria na Dkt. Willbrod Peter Slaa ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden.
Uteuzi wa Mabalozi hao kuiwakilisha Tanzania katika nchi walizopangiwa umeanza jana tarehe 15, Febtuari 2018.



Comments
Post a Comment