#HABARI ZA KUSIKITISHA KINONDONI






Katibu wa #CHADEMA kata ya #Hananasifu iliyopo jimbo la KINONDONI ambae alitekwa na kupotezwa tangu juzi. Mwili wake umepatikana leo ukiwa umehifadhiwa #mochwali katika hospitari ya Taifa muhimbili

Alitoeka jana na leo jana asubuhi mwili wake umekutwa mochwali,Ameshafarika na alama za majeraha ya mapanga.

Anaitwa Daniel john,alikua katibu wa chadema kata ya hananasif kinondoni.

Kwa mujibu wa waliofika hospital muhimbili madaktari wamesema kuwa mwili wa marehem ulifikishwa hospital hapo juzi saa 4 asubuhi.

Kwa mujibu wa vipimo vya madaktari hao marehemu alipigwa na kitu kizito kichwani na baadae walinyonga.

R I P
Shujaa wetu

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

FREEMASON NA ALAMA ZA SIRI MIKONONI