HATMA YA CHAMA CHA WANANCHI CUF KINONDONI
HATMA YA CHAMA CHA WANANCHI CUF KINONDONI.
Chama wanachi cuf kimeingi katika uchuguzi mdoogo wa kinondoni na kushangazi wapinzani.
Ukweli usiopingika chama cha wananchi cuf kinaonekana kuwa na nguvu kubwa katika uchaguzi mdogo mdogo katika jimbo la kinondoni.
Chama cha wananchi cuf kimeonesha ukomavu wake wa kisiasa katika jimbo la kinondoni huku wakipata sapoti kubwa kwa wafusi wao na kuwa tofauti na mitazamo ya wanasiasa kutokana na mgogoro uliopo katika hicho.
Wanakinondoni inaonesha dhahiri wanahitaji kuongozwa na mzawa wa kinondoni wamechoka kuyumbishwa.
Naludia tena ukweli usiopingika chama cha wananchi cuf kinaonekana kuwa na nguvu kubwa katika uchaguzi mdogo mdogo katika jimbo la kinondoni.
#Rajabu salum mgombea wa cuf amekuwa tishio kubwa kwa wapinzani wake ccm na chadema amekuwa na hoja madhubuti katika kampeni zake na kuonesha imani ya kuweza kuwatumikia wanakinondoni.
Japokua kuna harakati nyingi zinafanywa na viongozi wa upinzani kukiangusha chama cha cuf lakini viongozi wa cuf wamekua imara pamoja na wafuasi wao.
#Haki sawa kwa woti: Huu ndiyo mzizi wa chama hicho ndo umekifanya kuwe imara hadi saivi ukizungumzia huu mzii ni sawa na karatasi nyeupe udondeshee tone la wino mweusi wa kalam nini matokeo yake...???
Iyo ndiyo haki.Mnafiki anaejipachika katika kikundi waliopo wanacuf mapema mnoo anagundulika ndo sawa na karatasi na wino mweusi.
"Make the lie big, Make it simple,keep saying it and Eventually they wiil believe it.
"ADOLF HITLER"
Kauli maarufu ya Adolf Hitler akizungumzia nafasi ya uwongo kama njia ya kuwatawala watu.
Huu mfumo ukingia nao ndani ya chama cha wananchi cuf mapema utagundulika ni sawa na kuchanganya chumvi na sukari wapo waliojaribu kupenyeza mfumo huu lakini hawajaweza fanikiwa mpaka sasa nimajuto kwao japokua walijificha kwa mda mlefu lakini ikafika wakati mfumo ukawakataa
Haya ndiyo yanayowatesa wapinzani kinondoni kwa sababu
“ “Kama utaweza kuwatenganisha watu mbali na historia yao, basi utaweza kuwaongoza unapotaka kwa urahisi”
#Karl Max
Nikimanisha wapo walitumia jitahada kubwa kubwa kuondosha malengo na misingi ya chama cha wananchi cuf lakina mbio zao zikafikia ukingoni.
Sababu wanacuf wanaelew wapi walipotoka na wapi wanapoelekea nivigum kuwaondosha katika mstari wao historia yao wanaielewa vizuri.
WANAKINONDONI WANASEMA TUKUTANE KWA KISANDUKU
Comments
Post a Comment