#Mashekhe wa dini ya kiislam wametoweka katika hali ya kutatanisha zanzibar
Zanzibari:Jumuiya ya maimamu zanzibari imesema viongozi watano wa dini ya kiislam wadaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha.
Jeshi la polisi zanzibari limekana kuwakamata viongozi hao kwa kusema hawako mikononi mwa jeshi la poliso.
"Msijeanza ooh hao polisi wameanza"
Amefafanua msemaji wa polisi.Wamamesisitiza wananchi kutoa msaada wa kuwatafuta wakishirikiana na polisi.
Viongozi hao ni miongini mwa watu walikuwa waki kusanya michango kwa ajili ya familia ya mashekhe ambao wapo ndani Gerezani hiyo ni kuajili ya familia zao ziweze kujikimu kimaisha.

Comments
Post a Comment