Mwenyekiti cmm wa kijiji cha mji mwema siha ampigia debe mgombea ubunge wa cuf sihald

Mwekiti wa kijiji cha mjimwema wa ccm siha ampigia debe mgombea ubunge wa cuf



Mwenyekiti wa kijiji cha mjimwema wa ccm kata ya mjimwema wilaya ya siha akimwombea kula mgombea wa ubunge kuputia tiketi ya chama cha wananchi cuf katkika jimbo la siha leo kwa wakazi wa kujiji chake.

Mwenyekiti huyo amesema wanahitaji kiongozi asiyeyumbishwa wala kutuyumbisha na mwenye uwezo wa kuwajiba akisisitza wakati wa maneno umekwisha huu niwakati wa kupata kiongozi kiongozi sahihi kwetu.

Mwenyekit huyo amekili mwenyewe na kuonesha jamii mbunge makini na mwenye kuweza kutatua kero zetu si mwingi ni kutoka chama cha wananchi cuf.



Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

FREEMASON NA ALAMA ZA SIRI MIKONONI