nyayo za wageni kutoka sayari ya mbali za gundulika No.1
Nyayo za wageni kutoka sayari ya mbali zagundulika (Time travelling)
Time Traveling ni moja ya nyanja zenye kusisimua kwenye sayansi ya kosmolojia. Tafiti zinaonesha ‘time traveling’ ipo, lakini inafanyikaje kwa zana gani, bado teknolojia yetu haijaweza kulijibu swali hilo.
Lakini kwenye nakala za kale mno, ambazo bado waandishi wake bado hatuwajui kuwa ni viumbe gani na wazama zipi, zinaelezea matukio yanayo husiana na ‘time traveling’.
Wanasayansi wa Marekani kwa wiki mbili walisafiri angani kuizunguka dunia wakiwa na madege yao aina ya Jets, moja ya ndege zinazo kwenda kwa kasi mno kwenye teknolojia yetu ya leo ya usafiri wa anga.
libeba katika ndege hizo saa za atomiki. Lengo likiwa ni moja tu, kuthibitisha nadharia ya Einstein ya ‘time relativity’.
ambayo inasema kuwa, saa/muda/wakati unakwenda taratibu, unapokuwa kwenye chombo kinacho safiri kwa kasi, kadiri chombo hicho kinavyo kuwa na kasi kubwa
divyo muda unavyo zidi kwenda taratibu.
Walithibitisha hilo ni kweli baada ya wiki mbili kuizunguka dunia wakiwa na jeti na saa za atomiki.
Wanaanga ambao watasafiri kwenye chombo ambacho kina kasi inayo karibia kasi ya umeme, umri wao utaenda taratibu kulinganisha na wale ambao wamewaacha kwenye uso wa dunia.
Kwenye chombo kinacho kwenda kwa kasi inayo karibiana na umeme, wakiwa huko angani wataona kuwa muda unakwenda sawa na walio kuwa duniani, lakini ndani ya miaka michache watakuwa wamezikaribia nyota za mbali mno.
Aliporudi kutoka angani, alimkuta ndugu yake kazeeka, yeye bado ni kijana vilevile.
Baada ya miaka ishirini na moja ndani ya chombo chao hicho watakuwa wapo katikati ya galaxy yetu inayo fahamika kama milk way, lakini hapa duniani itakuwa imepita miaka 75,000!
Lakini nadharia hii, tunayoiita ya Einstein ya ‘Time Relativity’ilithibitishwa kuwa ni kweli, ilifahamika huko nyuma katika zama ambazo kulingana na Darwin binadam bado alikuwa ni kiumbe duni anayetumia zana duni.
Kwenye ngano za wa Japan, wanayo hadithi ya mtoto ambaye alisafiri kwenda angani miaka 3, aliporudi duniani alikuta miaka 300 imeshapita.
Mtume Isaya anazungumzia safari ya mbinguni, alipo ambiwa anarudi duniani, akauliza mbona imekuwa haraka hivyo nimekuwepo hapa kwa masaa mawili tu, malaika akamuambia, siyo masaa mawili bali miaka 32, Isaya akawa anahofia akirudi duniani atazeeka haraka na kifo, akaambiwa asiwe na wasiwasi akirudi duniani atabaki kama alivyo. (Tomas Endrew- We are not the First)
INDIA, walikuwa na taaluma ya ‘law of gravity’. Maarifa haya ndiyo msingi wa safari za anga na kasi ya usafiri wenyewe. Law of Atraction, pia ilifahamika India, sasa hivi inahubiriwa sana kwa namna mbali mbali na hasa kutoka nchi za Mashariki ya mbali, ambapo watu wa Magharibi wamechukua mafunzo hayo na kufanya moja ya biashara kubwa, na sasa watu wa New Ages na makanisa yao wamefanya kama moja ya misingi ya mafunzo ya dini yao, lakini kinacho fundishwa ni kama mchicha, kulinganisha na mbuyu.

Comments
Post a Comment