Nyayo za wageni kutoka sayari ya mbali zagundulika No.2


Nyayo za wageni kutoka sayari ya mbali za gundulika( Time travelling )


Greece, Britain, Egyty, Guatemala kutaja kwa uchache walikuwa na maarifa juu ya ‘anti gravity, vacuum, na mahesabu ambayo yana vipimo vya kasi ya umeme!


Guatemala walitumia neno ‘kinchiltun’ kumaanisha miaka 57,600,000. Ni kitu gani walikuwa wakikipima kwa miaka hiyo? Walitumia neno ‘alautun’ wakimaanisha siku 23,040,000,000 au miaka 63,123,000! ‘Kalpa’ ikimaanisha kipindi cha miaka bilioni 4.32. Aina hii ya vipimo ndiyo inayo tumiwa na wanasayansi wetu wa anga kupima umbali wa baina ya nyota, galaksi na sayari mbalimbali. Mathalani umbali baina ya nyota tunatumia neno ‘light years’ ambayo ni mamilioni ya miaka, umbali baina ya galaksi tunatumia neno ‘parsecs’, ambalo ni kipimo kinacho unganisha 3.26 light years.


Unaweza kufanya nini ndani ya sekunde moja? Unaweza ukakonyeza jicho lako mara sita, kusogea urefu wa nchi sabini. Unaona ni kitu kidogo sana unaweza kufanya ndani ya sekunde moja. Lakini unaweza kufikiri ni nini kinaweza kufanyika kwenye ‘tatu ya mamilioni ya sekunde’, soma vizuri siyo sekunde milioni tatu, hapana, ‘TATU YA MILIONI YA SEKUNDE’ Yaani muda utakao utumia kukonyeza jicho lako mara moja, kabla hujaanza kulifunga jicho, tayari 1/300,000,000 ya sekunde imeshapita! Ni kitu cha namna gani unacho weza kukipima kwenye muda huo, na kwa nini utake kukupima kitu hapo, unatumia nini kukipima? Maswali ni mengi na siyoni wa kuyajibu. India walifanya kipimo hicho, na wakakirikodi, lakini ni zamani hasa, makumi elfu ya miaka nyuma! Walikiita ‘Kashta’ kipimo hicho....read more

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

FREEMASON NA ALAMA ZA SIRI MIKONONI