Real madrid yaibuka na ushindi

Baada ya mchezo kati ya Real madrid na PSG, Madrid yaibuka na ushindi wa goli tatu
Ronaldo akizifumania nyavu mara mbili naMarcelo akimalizia goal la tatu wakati goli pekee la PSG likifungwa na kiongo wa Rabiot
PSG walikuwa wakwanza kufunga goal na Ronaldo akisawazisha na kupatia goli la kuongoza na baadae marcelo kumalizia bao la tatu
Mechi ilikuwa yakufutia mnoo.

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

FREEMASON NA ALAMA ZA SIRI MIKONONI