vyombo vya habari....chadema haibebeki kinondoni, cuf yawa tishio


Vyombo vya habari.....chadema haibebeki kinondoni


Siku kadhaa mfululizo kampeni za uchaguzi mdogo jimbo kinondoni zimevua nguo Magazet,Television, na vombo vingine vya habari kwa mtindo wa ushabiki.

Upepo umeyadhirishia  magazeti hayo kwamba kinondoni ni ngome ya chama cha wananchi cuf na sasa magazeti hayo yameamua kususia kundika habari za jimbo hili kwa kuwa haziwavutii.

Sasa hakuna kinachofichikana cuf yaivua ngua chadema cuf yaonesha umahili wa kusiasa kinondoni,chadema yakosa pakushika wabaki njiapanda,matumaini ya kupata jimbo yamepotea.

Hii ni baada ya Rajabu juma kuwazidi kwa hoja wapinzani wake na kuwadhihirishia wanakinondoni kua yeye ndo mzawa wa kinondoni na yeye ndo anayefaham shida za wanakinondoni.

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

FREEMASON NA ALAMA ZA SIRI MIKONONI