Wanaharakati wa zanzibari wawasilisha kesi ya kuupinga mungano

WANAHARAKATI  WA ZANZIBARI WAWASILISHA KESI KUUPINGA MUNGANO WA TANZANIA



Kundi la wanaharakati lenye wafuasi zaidi ya elfu arobaini kutoka visiwani Zanzibar wamefungua kesi katika mahamaka ya Afrika Mashariki wakitaka Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar uvunjwe kwa madai kwamba hauna uhalali. Rashid Salum Adiy ambae ni mmoja wa wanaharakati waliofungua kesi hiyo, ameiambia BBC kwamba, wamekwenda katika mahakama hiyo ya Afrika Mashariki baada ya mahakama kuu Zanzibar kushindwa kuisikiliza kesi hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

FREEMASON NA ALAMA ZA SIRI MIKONONI