Salim msangi Freemason na alama za siri mikononi. Kama ambavyo tutakavyo ona Freemason na wenzao wanaabudu miungu wengi katika majina mengi tofauti, katika kutekeleza ibada hizo au kuonesha utii kwa miungu hao, maadui zetu wamechagua njia mbalimbali, alama mbalimbali zikiwemo hizi zinazo fanyizwa kwa kutumia viungo vya mwili. Freemason wote wa YORK RITE, SCOTTISH RITE, SKULL & BONES, na katika kila asasi ya siri za kishetani kwenye mstari huu wa Illuminanti, wanayo aina fulani ya kusalimiana na aina fulani ya alama zinazo fanyizwa na mikono yao, alama hizo huwa na maana mahususi kwa wanachama. Kwenye buku rejea la freemason (Masonic Encyclopedia) imeandikwa hivi, “Mkono ni muhimu sana kwa freemason ... kwani sababu na lengo la kupokea utambulisho hufanya kwa mkono.” MWANACHAMA KATIKA ROYAL ARCH AU SEVENTH DEGREE, UNAWEZA KUIKUZA HII PICHA NA KUSOMA KILE KILICHO ANDIKWA CHINI YAKE. Alama hizi za kimasonia, ni lugha ya kimataifa baina yao, huizu...
Comments
Post a Comment