ZITTO AACHIWA KWA DHAMANA

Mbunge Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kusomewa mashtaka matatu ikiwemo kutoa maneno ya uchochezi na kuyakana yote.

Kwa mujibu wa Wakili wake, Jebra Kambole,  Zitto ameyakana mashtaka yote matatu na kesi imeahirishwa hadi Novemba 26 mwaka huu.

Masharti ya dhamana ilikuwa ni kuwa na mdhamini mmoja na kusaini bondi ya shilingi milioni 10.

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

JE WAJUA FAIDA YA BAKING SODA KWA AFYA YAKO

PICHA ZA UCHI NI SHIDA KWA JOGOO WAKO!!!