Posts

Showing posts from 2018

DC TARIME ANUSURU MAISHA YA ALIYEFANYIWA TOHARA KIENYEJI

Image
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorius Luoga ameyanusuru maisha ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la  Mwita Marwa mkazi wa Kemakorere baada ya kudaiwa kufanyiwa tohara isiyo Salama. Mkuu huyo wa wilaya ametoa msaada huo baada ya kumkuta kijana huyo akiwa ameanguka barabarani bila ya kupatiwa msaada wowote na wananchi waliokuwepo katika eneo hilo. Mkuu huyo wa wilaya alikuwa njiani kuelekea Nyamongo katika ziara yake ya kikazi. Inadaiwa kuwa kijana huyo alifanyiwa tohara hiyo isiyo salama huko porini na kuvuja damu nyingi zilizopelekea kuishiwa nguvu.

UKWELI KUHUSU CHRISMAS NA TAREHE YA KUZALIWA YESU

Image
"KUNA MSEMO WA KISWAHILI UNAOSEMA, "MWANAFUNZI HAMPITI MWALIMU WAKE" Mwisho utajua kuwa kanisa katoliki ndilo baba wa theolojia na mafundisho yote ya imani za Ukristo. Katika hili nakaa kimya Nachukua mafundisho ya Mwl. wangu wa Maandiko Matakatifu Pd. Titus Amigu kama yalivyo na kuwapa katika maandalizi ya kusherekea Krismasi hii 2018. TAREHE YA KUZALIWA KWA KRISTO Nimeombwa nifafanue tarehe ya kuzaliwa Yesu Kristo kama ni kweli ni tarehe 25 Desemba au la. Lakini kwa ajili ya kuwekana sana nimeyagundua maswali mawili yanayoweza kufuata baada ya kujibu swali hili la msingi. Ndiposa nimeambatanisha majibu kwa maswali hayo ya nyongeza. Swali moja ni kwa nini tunaadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo kila mwaka na lingine ni Yesu alitungwa mimba lini. Nifuatilie. Nitaanza kujibu swali la kwa nini tunaadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo kila mwaka, kisha nitajibu swali la tarehe ya kuzaliwa Yesu Kriisto na kumalizia na swali la Yesu alitungwa mimba lini. Mpangilio huu unasa...

TAMASHA LA FIESTA HAMNA, UONGOZI WA CLOUDS MEDIA WATANGAZA

Image
TAMASHA LA FIESTA HAMNA, UONGOZI WA CLOUDS MEDIA WATANGAZA Tamasha la Tigo Fiesta mwaka 2018 lililokuwa lifanyike leo Jumamosi katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam halitafanyika tena. Taarifa hii imetolewa asubuhi ya leo na kamati ya tamasha hilo lililoandaliwa na uongozi Clouds Media Group (CMG) huku wakisema uamuzi huo umefanyika kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao. “Tunaomba radhi kwa madhara yoyote yatakayosababishwa na hili,” imeeleza taarifa hiyo. Taarifa hiyo imeongeza kwamba itarudisha fedha zote za tiketi kwa waliokwishazinunua kwa njia simu, na kwenye vituo vyote vilivyokuwa vikiuza tiketi hizo. Hata hivyo kumekuwa na barua inayosambaa mtandaoni kutoka kwa Afisa Utamaduni, Manispaa ya Kinondoni ambayo haina muhuri, yenye kichwa cha habari ‘Kusitisha kibali cha kufanya Fiesta Leaders Club Dar es salaam.’ Barua hiyo imeeleza imefuta kibali hicho baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi waliolazwa hospitalini wakidai kuwa saut...

JE WAJUA FAIDA YA BAKING SODA KWA AFYA YAKO

Image
Kwa msaada tu, leo naomba niwape machache faida za kiafya za kutumia Baking Powder, ambayo nami nakiri kuwa nimefanyia utafiti nimethibitisha hivyo!!!  Ili kuweka tumbo vizuri ni vyema kutumia mara kwa mara endapo tumbo linajaa gesi, au kukosa choo. Unachanga Baking powder na Vinegar kiasi, inapoanza kufuka kunywa.(Mfano wa dawa ya Andrews)  Baada ya dakika kumi utaona tumbo lako lipo vizuri kabisa. Kwa wale wanaotoa harufu mbaya mwilini, tumia baking powder kupaka kwenye kwapa au sehemu za siri. Kwa wale wanaotoka vipele baada ya kunyoa ndevu, tumia baking power iwe kama after shave yako mara kwa mara!!! Kwa wale wenye vipele vidogo vidogo (rashes). Tumia baking powder kwa kujisuuza baada ya kuoga. Kaa muda wa dakika 15. Jisuze kwa maji safi. Tumia kwa muda wa siku tatu. Vipele vyote vitakuwa vimekauka. Tumia Baking Powder kidogo sana kuweka kwenye mboga za majani au njegele.Mboga itakuwa laini na rangi nzuri na kuvutia,   Nina hakika watu wengi mnatambua umuh...

Mageto’ Kishapu yachochea mimba za wanafunzi shuleni

Image
CHANGAMOTO ya uhaba wa mabweni kwenye shule nyingi za sekodari za Kata, bado ni janga linalowaathiri zaidi wanafunzi wa kike. Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Bunambiyu wilayani Kishapu, akiwa amebeba Bango likionyesha namna umbali mrefu kwenda shule ulivyo kikwazo kwa wanafunzi Kimsingi uwepo wa mabweni katika shule hizo ni suluhisho tosha dhidi ya madhira yanayowakabili wanafunzi wa kike ambao baadhi hukaa mbali na shule, hali inayosababisha waingie katika mitego mbalimbali ikiwamo ya kutongozwa, kubakwa na mbaya zaidi kupata ujauzito. Serikali ilianzisha shule hizo kwa lengo la kuongeza wigo wa wanafunzi wanaoingia elimu ya sekondari, baada ya shule ya msingi ili kukuza kiwango cha elimu nchini. Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alisema Agosti 25, 2014, kwamba wakati anaingia madarakani 2005, ni asilimia 10 tu ya wanafunzi walikuwa wakichaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari kwenye shule za Serikali, kutokana na uchache wa shule hizo. “Kwa miaka mingi hatukujenga shule mpya za sekonda...

Je, hivi unadhani kwamba tupo peke yetu katika ulimwengu mzima? HAPANA

Image
Je, hivi unadhani kwamba tupo peke yetu katika ulimwengu mzima? HAPANA Kuna bilioni mia ya nyota zilizopo angani ambazo nazo karibu zote huwa kama zimezunguka Sayari moja ambapo nyota hizo huwa ni panoja na Gesi na vumbi na mgandamizo wa uvutano uliopo angani kwa pamoja huitwa Galaxy. Ambapo njia moja ya maziwa ya Galaxy hiyo, Jua huzungukia kila miaka milioni 200., Sasa kuacha hiyo Galaxy moja kuna Galaxy nyingine ambayo ni Andromeda: Ambayo hiyo nayo huwa Inasadikika na wanasayansi ya anga kuwa itachukua njia hiyo miaka bilioni kadhaa ijayo! Hata aliyetafiti sidhani kama atakuwepo! Andromeda hiyo pia hujulikana kama Messier 31, au NGC 224 ni galaxy ya juu takriban 780 kiloparsecs (miaka milioni 2.5 ya mwanga) kutoka Dunia, na galaxy kuu karibu na Milky Way. ] Jina lake linatokana na eneo la mbingu ambalo imetokea, Kuachana na hiyo teyari zimeshaonekana katika Darubini za watafiti hao wanajua wenyewe na kusema zipo bilioni 100 hadi sasa lakini huenda picha inavyoonekana ni kwamba...

Ule msemo wa wanaume wa dar. Waibua mashoga dar.

Dunia yako https://ift.tt/2CViKf0

Dunia yakoUle msemo wa wanaume wa dar. Waibua mashoga dar.

Dunia yako https://ift.tt/2CViKf0

Ule msemo wa wanaume wa dar. Waibua mashoga dar.

Dunia yako https://ift.tt/2CViKf0

Ule msemo wa wanaume wa dar. Waibua mashoga dar.

Dunia yako https://ift.tt/2CViKf0

MAITI ZAOKOTWA KANDO YA RELI DAR.

Image
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limeeleza kushtushwa na maiti ambazo zimekuwa zikiokotwa mara kwa mara kwenye njia ya reli. Limesema kwa wiki iliyopita pekee zimeokotwa maiti mbili kwenye njia hiyo ya reli maeneo ya Gongo la Mboto, Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika hilo, Focus Sahani, alisema jana kuwa wahusika walizitupa maiti hizo kwenye reli kama ujanja kuonyesha kwamba watu hao waligongwa na treni. Alisema shirika hilo limekuwa likiokota maiti kwenye reli hiyo kila mara vitendo ambavyo vinawashtua kwa kuwa hawajui wahusika wanafanya hivyo kwa lengo gani. "Sasa hivi kumejitokeza matukio mengi tu unakuta wengine wamewekwa relini, watu wanamfanyia mtu kitu kibaya huko wanamtupa kwenye reli ionekane kama amegongwa na treni," alisema. Alisema maiti hizo hadi sasa hazijafahamika zinatupwa na watu gani kwenye reli. "Wanaua mtu huko wanamleta kwenye reli wanamuacha hapo ili kuonyesha kuwa amegongwa. Wanafanya hivi ili kuondoa ushahidi wiki iliyo...

TCRA imesema ina wataalamu waliobobea wa kujua simu ambayo ina picha za ngono na kuwataka watu wenye picha hizo kuzifuta mara moja. nini maoni yako

Dunia yakoTCRA imesema ina wataalamu waliobobea wa kujua simu ambayo ina picha za ngono na kuwataka watu wenye picha hizo kuzifuta mara moja. nini maoni yako

Dunia yako https://ift.tt/2CViKf0

Zitto Kabwe aachiwa kwa dhaman

Image
Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa Chama Cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe amedai kuwa makosa anayoshtakiwa yanafanana na makosa ambayo walishawahi kushtakiwa baadhi ya waasisi wa bara la Afrika. Amesema kuwa kesi za namna hiyo ndizo zilizowahi kuwakumba baadhi ya waasisi, akiwemo muasisi wa Taifa la Afrika Kusini, Nelson Mandela pamoja na muasisi wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere. “Kesi za namna hii wamefungwa wakina Mandela, na mwalimu kwa hiyo sio jambo linapaswa kuwatisha watu. Ila nasikitika sana jana sikushiriki kongamano la chuo kikuu cha Dar es salaam.”amesema Zitto Aidha, mbunge huyo wa Kigoma Mjini anashtakiwa kwa makosa matatu ya uchochezi, ambapo katika kesi yake upande wa Jamhuri unawakilishwa na Wakili, Tumaini Kweka na upande mshtakiwa unawakilishwa na wakili Peter Kibatala. Hata hivyo, Zitto alikamatwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam oktoba 31 mwaka huu kufuatia mkutano wake na waandishi wa habari ambapo alitoa madai ya kuuawa kwa zaidi ...

ZITTO AACHIWA KWA DHAMANA

Image
Mbunge Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kusomewa mashtaka matatu ikiwemo kutoa maneno ya uchochezi na kuyakana yote. Kwa mujibu wa Wakili wake, Jebra Kambole,  Zitto ameyakana mashtaka yote matatu na kesi imeahirishwa hadi Novemba 26 mwaka huu. Masharti ya dhamana ilikuwa ni kuwa na mdhamini mmoja na kusaini bondi ya shilingi milioni 10.

JE,UNAKUMBUKA NINI KATIKA MIAKA HII?

Image
JE,UNAKUMBUKA NINI KATIKA MIAKA HII? 1.     13/ 4- Million B.C -750,000  B.C  -  Early stone age 2.     750,000 B.C - 50,000 B.C  -Middle stone age 3.     50,000 B.C -1,000 A.D  - Late stone age 4.     400 B.C  - Government system started in Greece 5.     0  - Birth of Jesus Christ 6.     570 A.D  - The birth of Profet Mohamed 7.     622 A.D  - Profet Mohamed the founder of Islamic religion fled to Mecca 8.     1200  - Kilwa started to use its own coins 9.     1485  - Nzinga Nkuwu opened diplomatic relations with Portugal 10.   1487  - Discovery of the sea route to Indian by Barth Lomew Diaz 11.   1492  - Suni Ali of Soghai empire died             ...

LOWAASA AKWAMA KUMWONA ZITTO KABWE KITUONI

Image
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amezuiwa kumuona kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe anayeshikiliwa na polisi tangu jana Oktoba 31, 2018. Msaidizi wa waziri mkuu huyo wa zamani, Aboubakary Liongo amesema kuwa  leo Alhamisi Novemba Mosi, 2018 saa 9 Alasiri Lowassa alikwenda kumuona Zitto kutaka kujua hatima yake, kwani wako pamoja naye kuhakikisha haki inatendeka, lakini akaelezwa kuwa muda wa kumuona umeshapita. Baada ya kufika kituoni hapo, msaidizi wa Lowassa alikwenda kuomba kibali cha kumuona Zitto lakini alielezwa kuwa muda umekwisha, ambapo Lowassa amenukuliwa akisema, “Huyu ni kiongozi mwenzetu huku upinzani lazima tushikamane kukabiliana na lolote lililo mbele yetu, tunahitaji kuwa kitu kimoja kuliko wakati mwingine wowote". Zitto yupo kituo cha polisi Mburahati ambako amepelekwa leo  akitokea kituo cha Osterbay

MBOWE AKIMBIZWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU

Image
MBOWE AKIMBIZWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU : Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe anayekabiliwa na kesi ya jinai namba 112 ya mwaka huu na wenzake wanane, amesafirishwa jana kwenda nchini Afrika kwaajili ya matibabu ya moyo na shinikizo la moyo. Hayo yameelezwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri na wakili wa Kiongozi huyo, Peter Kibatala. Wakili Kibatala aliieleza mahakama kuwa mdhamini wa Mbowe, Grayson Celestine amemweleza kuwa jana jioni alipokea taarifa kutoka kwa mke wa Mbowe kuwa, kiongozi huyo amesafirishwa akiwa mahututi kuelekea nchini Afrika Kusini na kwamba nyaraka za safiri hiyo ya matibabu zitawasilishwa kwa barua mahakamani hapo.

MAKOSA 13 KATIKA PESA AMBAYO HUTAKIWI KUYAFANYA 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake. 2 Usitumie pesa ambayo bado haipo mikononi mwako. Wala usije ukamuahidi mtu kumpa pesa ambayo umeahidiwa mahali fulani. Kama kuna mtu kakwambia, Flan njoo kesho nikulipe deni lako" Basi wewe usiende kukopa vitu kadhaa dukani au hata kumuahidi mtu mwingine kumpa pesa ambayo na wewe umeahidiwa. Ni kosa. Unaweza kuingia kwenye matatizo. 3 Kama unataka kuhifadhi/kutunza pesa, kila unapopata pesa usianze kuitumia kwanza kisha ukategemea kutunza kiasi kitakachosalia. Hivyo basi, ukipata tu pesa, weka pembeni kiasi unachodhani kinafaa kutunzwa/kuhifadhiwa kisha tumia kiasi kilichobaki. 4 Ukipata nafasi ya kuonana na mtu tajiri, kamwe usiombe pesa. Omba maarifa ya kutengeneza pesa kama yeye, tena kwa mtaji mdogo. Maarifa ndio mtaji wa kwanza. Unaweza kupewa/kusaidiwa pesa iwapo una mawazo mazuri ya kuzalisha pesa. Baadhi husema, "Omba ndoano, usiombe samaki" 5 Usitunze mbegu badala ya kuipanda. Watu wengi hufurahia pesa wanayolipwa/kuipata kisha wanaiweka bank au nyumbani bila kuiwekeza. Wekeza pesa ili uzalishe zaidi. Usiogope kuingia hasara, kila aliefanikiwa alipoteza kwanza kabla hajafanikiwa. Wengi walipoteza muda, pesa, afya na hata matumaini ya kufanikiwa, ila kwa uthubutu wao, mwisho wa siku walifanikiwa. 6 Kamwe usimkopeshe mtu pesa ambayo unahisi hatorudisha. Unapomkopesha mtu huyo pesa, jiridhishe mwenyewe moyoni kuwa kama hatoweza kulipa basi deni lake halitoathiri urafiki wenu. Ukihisi kwamba kushindwa kwake kulipa kunaweza kuathiri urafiki wenu, basi mshauri aende bank akakope. 7 Usikubali uwe shahidi , tena kwa kusaini kabisa ili umdhamini mtu ambae huna uhakika kuwa atalipa kile unachomdhamini. Kumbuka kuwa, dhamana maana yake utawajibika iwapo atashindwa kulipa. 8 Epuka kutembea na pesa nyingi ambazo hata huna matumizi nazo wakati huo. Unaweza kujikuta unafanya matumizi ambayo hayakuwa kwenye ratiba sababu ya ushawishi wa pesa ya mfukoni. Ili kuepuka haya, tembea na pesa uliyopanga kuitumia katika safari yako. Pesa nyingine itunze mahali pengine palipo salama. 9 Epuka kutunza pesa mahali pasipo sahihi. Maeneo kama kwenye soksi, sidiria, chini ya mto wa kulalia, chini ya begi, kwenye kopo au hata kwenye begi la safari, si maeneo salama. Ni rahisi kusahau, kuibiwa au kupoteza pesa zako. Ni bora ukatunza pesa kieletroniki; yaani bank au kwenye simu au kwenye pochi yenye kamba ngumu ya kuivaa mabegani au wallet ambayo inatosha kwenye mifuko imara na yenye vifungo kwenye nguo zako hasa uwapo safarini. 10 Usitumie pesa kwa kitu ambacho hakikuwa kwenye ratiba yako. Jiulize kwanza kabla hujanunua, "Bila kitu hiki, maisha yataenda au lah? Ukiona maisha yataenda bila kitu hicho, acha kukinunua. Tabasamu kisha ondoka. 11 Usiingiwe tamaa kwa kununua kitu ambacho ungeweza kununua kwa bei ya punguzo mahali pengine zaidi. Labda tu uwe una pesa nyingi. 12 Matumizi yako ya pesa yasizidi pato lako. Unaweza kuwa una ndoto kubwa/matumizi makubwa ya pesa kuzidi pato lako. Unapaswa kuwa bahili katika matumizi yako. Cheza na pato lako. Fanya matumizi makubwa pale tu pato lako litakapoongezeka. Hii itakuepushia kushindwa kufanya baadhi ya mambo ya msingi na kisha ukajikuta unaishia kwenye madeni makubwa. 13 Una ndoto kubwa hapo baadae; labda kujenga nyumba, kununua gari, kununua kiwanja, simu nzuri hata pikipiki. Usikurupuke, ukanunua kitu cha ndoto yako sasa eti tu sababu umekipata kwa bei ya punguzo. Usichanganye kati ya mahitaji ya baadae na ya sasa. Pesa unayotumia kutimizia ndoto sasa itumie kwa mahitaji ya sasa. Ndoto ibaki kuwa ndoto. Hii itakuepushia kuingia katika madeni au kuishi kwa shida sababu ya tamaa. Jipange taratibu kutimiza ndoto yako. Bila shaka umewahi kufanya moja ya makosa haya. Usirudie kosa. Washirikishe wenzio ili tunufaike sote. www.ngomakabwe.com

Dunia yako https://ift.tt/2CViKf0

Dunia yakoMAKOSA 13 KATIKA PESA AMBAYO HUTAKIWI KUYAFANYA 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake. 2 Usitumie pesa ambayo bado haipo mikononi mwako. Wala usije ukamuahidi mtu kumpa pesa ambayo umeahidiwa mahali fulani. Kama kuna mtu kakwambia, Flan njoo kesho nikulipe deni lako" Basi wewe usiende kukopa vitu kadhaa dukani au hata kumuahidi mtu mwingine kumpa pesa ambayo na wewe umeahidiwa. Ni kosa. Unaweza kuingia kwenye matatizo. 3 Kama unataka kuhifadhi/kutunza pesa, kila unapopata pesa usianze kuitumia kwanza kisha ukategemea kutunza kiasi kitakachosalia. Hivyo basi, ukipata tu pesa, weka pembeni kiasi unachodhani kinafaa kutunzwa/kuhifadhiwa kisha tumia kiasi kilichobaki. 4 Ukipata nafasi ya kuonana na mtu tajiri, kamwe usiombe pesa. Omba maarifa ya kutengeneza pesa kama yeye, tena kwa mtaji mdogo. Maarifa ndio mtaji wa kwanza. Unaweza kupewa/kusaidiwa pesa iwapo una mawazo mazuri ya kuzalisha pesa. Baadhi husema, "Omba ndoano, usiombe samaki" 5 Usitunze mbegu badala ya kuipanda. Watu wengi hufurahia pesa wanayolipwa/kuipata kisha wanaiweka bank au nyumbani bila kuiwekeza. Wekeza pesa ili uzalishe zaidi. Usiogope kuingia hasara, kila aliefanikiwa alipoteza kwanza kabla hajafanikiwa. Wengi walipoteza muda, pesa, afya na hata matumaini ya kufanikiwa, ila kwa uthubutu wao, mwisho wa siku walifanikiwa. 6 Kamwe usimkopeshe mtu pesa ambayo unahisi hatorudisha. Unapomkopesha mtu huyo pesa, jiridhishe mwenyewe moyoni kuwa kama hatoweza kulipa basi deni lake halitoathiri urafiki wenu. Ukihisi kwamba kushindwa kwake kulipa kunaweza kuathiri urafiki wenu, basi mshauri aende bank akakope. 7 Usikubali uwe shahidi , tena kwa kusaini kabisa ili umdhamini mtu ambae huna uhakika kuwa atalipa kile unachomdhamini. Kumbuka kuwa, dhamana maana yake utawajibika iwapo atashindwa kulipa. 8 Epuka kutembea na pesa nyingi ambazo hata huna matumizi nazo wakati huo. Unaweza kujikuta unafanya matumizi ambayo hayakuwa kwenye ratiba sababu ya ushawishi wa pesa ya mfukoni. Ili kuepuka haya, tembea na pesa uliyopanga kuitumia katika safari yako. Pesa nyingine itunze mahali pengine palipo salama. 9 Epuka kutunza pesa mahali pasipo sahihi. Maeneo kama kwenye soksi, sidiria, chini ya mto wa kulalia, chini ya begi, kwenye kopo au hata kwenye begi la safari, si maeneo salama. Ni rahisi kusahau, kuibiwa au kupoteza pesa zako. Ni bora ukatunza pesa kieletroniki; yaani bank au kwenye simu au kwenye pochi yenye kamba ngumu ya kuivaa mabegani au wallet ambayo inatosha kwenye mifuko imara na yenye vifungo kwenye nguo zako hasa uwapo safarini. 10 Usitumie pesa kwa kitu ambacho hakikuwa kwenye ratiba yako. Jiulize kwanza kabla hujanunua, "Bila kitu hiki, maisha yataenda au lah? Ukiona maisha yataenda bila kitu hicho, acha kukinunua. Tabasamu kisha ondoka. 11 Usiingiwe tamaa kwa kununua kitu ambacho ungeweza kununua kwa bei ya punguzo mahali pengine zaidi. Labda tu uwe una pesa nyingi. 12 Matumizi yako ya pesa yasizidi pato lako. Unaweza kuwa una ndoto kubwa/matumizi makubwa ya pesa kuzidi pato lako. Unapaswa kuwa bahili katika matumizi yako. Cheza na pato lako. Fanya matumizi makubwa pale tu pato lako litakapoongezeka. Hii itakuepushia kushindwa kufanya baadhi ya mambo ya msingi na kisha ukajikuta unaishia kwenye madeni makubwa. 13 Una ndoto kubwa hapo baadae; labda kujenga nyumba, kununua gari, kununua kiwanja, simu nzuri hata pikipiki. Usikurupuke, ukanunua kitu cha ndoto yako sasa eti tu sababu umekipata kwa bei ya punguzo. Usichanganye kati ya mahitaji ya baadae na ya sasa. Pesa unayotumia kutimizia ndoto sasa itumie kwa mahitaji ya sasa. Ndoto ibaki kuwa ndoto. Hii itakuepushia kuingia katika madeni au kuishi kwa shida sababu ya tamaa. Jipange taratibu kutimiza ndoto yako. Bila shaka umewahi kufanya moja ya makosa haya. Usirudie kosa. Washirikishe wenzio ili tunufaike sote. www.ngomakabwe.com

Dunia yako https://ift.tt/2CViKf0

MAKOSA 13 KATIKA PESA AMBAYO HUTAKIWI KUYAFANYA 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake. 2 Usitumie pesa ambayo bado haipo mikononi mwako. Wala usije ukamuahidi mtu kumpa pesa ambayo umeahidiwa mahali fulani. Kama kuna mtu kakwambia, Flan njoo kesho nikulipe deni lako" Basi wewe usiende kukopa vitu kadhaa dukani au hata kumuahidi mtu mwingine kumpa pesa ambayo na wewe umeahidiwa. Ni kosa. Unaweza kuingia kwenye matatizo. 3 Kama unataka kuhifadhi/kutunza pesa, kila unapopata pesa usianze kuitumia kwanza kisha ukategemea kutunza kiasi kitakachosalia. Hivyo basi, ukipata tu pesa, weka pembeni kiasi unachodhani kinafaa kutunzwa/kuhifadhiwa kisha tumia kiasi kilichobaki. 4 Ukipata nafasi ya kuonana na mtu tajiri, kamwe usiombe pesa. Omba maarifa ya kutengeneza pesa kama yeye, tena kwa mtaji mdogo. Maarifa ndio mtaji wa kwanza. Unaweza kupewa/kusaidiwa pesa iwapo una mawazo mazuri ya kuzalisha pesa. Baadhi husema, "Omba ndoano, usiombe samaki" 5 Usitunze mbegu badala ya kuipanda. Watu wengi hufurahia pesa wanayolipwa/kuipata kisha wanaiweka bank au nyumbani bila kuiwekeza. Wekeza pesa ili uzalishe zaidi. Usiogope kuingia hasara, kila aliefanikiwa alipoteza kwanza kabla hajafanikiwa. Wengi walipoteza muda, pesa, afya na hata matumaini ya kufanikiwa, ila kwa uthubutu wao, mwisho wa siku walifanikiwa. 6 Kamwe usimkopeshe mtu pesa ambayo unahisi hatorudisha. Unapomkopesha mtu huyo pesa, jiridhishe mwenyewe moyoni kuwa kama hatoweza kulipa basi deni lake halitoathiri urafiki wenu. Ukihisi kwamba kushindwa kwake kulipa kunaweza kuathiri urafiki wenu, basi mshauri aende bank akakope. 7 Usikubali uwe shahidi , tena kwa kusaini kabisa ili umdhamini mtu ambae huna uhakika kuwa atalipa kile unachomdhamini. Kumbuka kuwa, dhamana maana yake utawajibika iwapo atashindwa kulipa. 8 Epuka kutembea na pesa nyingi ambazo hata huna matumizi nazo wakati huo. Unaweza kujikuta unafanya matumizi ambayo hayakuwa kwenye ratiba sababu ya ushawishi wa pesa ya mfukoni. Ili kuepuka haya, tembea na pesa uliyopanga kuitumia katika safari yako. Pesa nyingine itunze mahali pengine palipo salama. 9 Epuka kutunza pesa mahali pasipo sahihi. Maeneo kama kwenye soksi, sidiria, chini ya mto wa kulalia, chini ya begi, kwenye kopo au hata kwenye begi la safari, si maeneo salama. Ni rahisi kusahau, kuibiwa au kupoteza pesa zako. Ni bora ukatunza pesa kieletroniki; yaani bank au kwenye simu au kwenye pochi yenye kamba ngumu ya kuivaa mabegani au wallet ambayo inatosha kwenye mifuko imara na yenye vifungo kwenye nguo zako hasa uwapo safarini. 10 Usitumie pesa kwa kitu ambacho hakikuwa kwenye ratiba yako. Jiulize kwanza kabla hujanunua, "Bila kitu hiki, maisha yataenda au lah? Ukiona maisha yataenda bila kitu hicho, acha kukinunua. Tabasamu kisha ondoka. 11 Usiingiwe tamaa kwa kununua kitu ambacho ungeweza kununua kwa bei ya punguzo mahali pengine zaidi. Labda tu uwe una pesa nyingi. 12 Matumizi yako ya pesa yasizidi pato lako. Unaweza kuwa una ndoto kubwa/matumizi makubwa ya pesa kuzidi pato lako. Unapaswa kuwa bahili katika matumizi yako. Cheza na pato lako. Fanya matumizi makubwa pale tu pato lako litakapoongezeka. Hii itakuepushia kushindwa kufanya baadhi ya mambo ya msingi na kisha ukajikuta unaishia kwenye madeni makubwa. 13 Una ndoto kubwa hapo baadae; labda kujenga nyumba, kununua gari, kununua kiwanja, simu nzuri hata pikipiki. Usikurupuke, ukanunua kitu cha ndoto yako sasa eti tu sababu umekipata kwa bei ya punguzo. Usichanganye kati ya mahitaji ya baadae na ya sasa. Pesa unayotumia kutimizia ndoto sasa itumie kwa mahitaji ya sasa. Ndoto ibaki kuwa ndoto. Hii itakuepushia kuingia katika madeni au kuishi kwa shida sababu ya tamaa. Jipange taratibu kutimiza ndoto yako. Bila shaka umewahi kufanya moja ya makosa haya. Usirudie kosa. Washirikishe wenzio ili tunufaike sote. www.ngomakabwe.com

Dunia yako https://ift.tt/2CViKf0

MAKOSA 13 KATIKA PESA AMBAYO HUTAKIWI KUYAFANYA 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake. 2 Usitumie pesa ambayo bado haipo mikononi mwako. Wala usije ukamuahidi mtu kumpa pesa ambayo umeahidiwa mahali fulani. Kama kuna mtu kakwambia, Flan njoo kesho nikulipe deni lako" Basi wewe usiende kukopa vitu kadhaa dukani au hata kumuahidi mtu mwingine kumpa pesa ambayo na wewe umeahidiwa. Ni kosa. Unaweza kuingia kwenye matatizo. 3 Kama unataka kuhifadhi/kutunza pesa, kila unapopata pesa usianze kuitumia kwanza kisha ukategemea kutunza kiasi kitakachosalia. Hivyo basi, ukipata tu pesa, weka pembeni kiasi unachodhani kinafaa kutunzwa/kuhifadhiwa kisha tumia kiasi kilichobaki. 4 Ukipata nafasi ya kuonana na mtu tajiri, kamwe usiombe pesa. Omba maarifa ya kutengeneza pesa kama yeye, tena kwa mtaji mdogo. Maarifa ndio mtaji wa kwanza. Unaweza kupewa/kusaidiwa pesa iwapo una mawazo mazuri ya kuzalisha pesa. Baadhi husema, "Omba ndoano, usiombe samaki" 5 Usitunze mbegu badala ya kuipanda. Watu wengi hufurahia pesa wanayolipwa/kuipata kisha wanaiweka bank au nyumbani bila kuiwekeza. Wekeza pesa ili uzalishe zaidi. Usiogope kuingia hasara, kila aliefanikiwa alipoteza kwanza kabla hajafanikiwa. Wengi walipoteza muda, pesa, afya na hata matumaini ya kufanikiwa, ila kwa uthubutu wao, mwisho wa siku walifanikiwa. 6 Kamwe usimkopeshe mtu pesa ambayo unahisi hatorudisha. Unapomkopesha mtu huyo pesa, jiridhishe mwenyewe moyoni kuwa kama hatoweza kulipa basi deni lake halitoathiri urafiki wenu. Ukihisi kwamba kushindwa kwake kulipa kunaweza kuathiri urafiki wenu, basi mshauri aende bank akakope. 7 Usikubali uwe shahidi , tena kwa kusaini kabisa ili umdhamini mtu ambae huna uhakika kuwa atalipa kile unachomdhamini. Kumbuka kuwa, dhamana maana yake utawajibika iwapo atashindwa kulipa. 8 Epuka kutembea na pesa nyingi ambazo hata huna matumizi nazo wakati huo. Unaweza kujikuta unafanya matumizi ambayo hayakuwa kwenye ratiba sababu ya ushawishi wa pesa ya mfukoni. Ili kuepuka haya, tembea na pesa uliyopanga kuitumia katika safari yako. Pesa nyingine itunze mahali pengine palipo salama. 9 Epuka kutunza pesa mahali pasipo sahihi. Maeneo kama kwenye soksi, sidiria, chini ya mto wa kulalia, chini ya begi, kwenye kopo au hata kwenye begi la safari, si maeneo salama. Ni rahisi kusahau, kuibiwa au kupoteza pesa zako. Ni bora ukatunza pesa kieletroniki; yaani bank au kwenye simu au kwenye pochi yenye kamba ngumu ya kuivaa mabegani au wallet ambayo inatosha kwenye mifuko imara na yenye vifungo kwenye nguo zako hasa uwapo safarini. 10 Usitumie pesa kwa kitu ambacho hakikuwa kwenye ratiba yako. Jiulize kwanza kabla hujanunua, "Bila kitu hiki, maisha yataenda au lah? Ukiona maisha yataenda bila kitu hicho, acha kukinunua. Tabasamu kisha ondoka. 11 Usiingiwe tamaa kwa kununua kitu ambacho ungeweza kununua kwa bei ya punguzo mahali pengine zaidi. Labda tu uwe una pesa nyingi. 12 Matumizi yako ya pesa yasizidi pato lako. Unaweza kuwa una ndoto kubwa/matumizi makubwa ya pesa kuzidi pato lako. Unapaswa kuwa bahili katika matumizi yako. Cheza na pato lako. Fanya matumizi makubwa pale tu pato lako litakapoongezeka. Hii itakuepushia kushindwa kufanya baadhi ya mambo ya msingi na kisha ukajikuta unaishia kwenye madeni makubwa. 13 Una ndoto kubwa hapo baadae; labda kujenga nyumba, kununua gari, kununua kiwanja, simu nzuri hata pikipiki. Usikurupuke, ukanunua kitu cha ndoto yako sasa eti tu sababu umekipata kwa bei ya punguzo. Usichanganye kati ya mahitaji ya baadae na ya sasa. Pesa unayotumia kutimizia ndoto sasa itumie kwa mahitaji ya sasa. Ndoto ibaki kuwa ndoto. Hii itakuepushia kuingia katika madeni au kuishi kwa shida sababu ya tamaa. Jipange taratibu kutimiza ndoto yako. Bila shaka umewahi kufanya moja ya makosa haya. Usirudie kosa. Washirikishe wenzio ili tunufaike sote. www.ngomakabwe.com

Dunia yako https://ift.tt/2CViKf0

KIWANDA KINACHOZALISHA POMBE KALI BILA YA USAJILI CHABAINIKA KILIMANJARO

Image
KIWANDA KINACHOZALISHA POMBE KALI BILA YA USAJILI CHABAINIKA KILIMANJARO Polisi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato(TRA) pamoja na Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) wamekamata kiwanda hicho katika mji mdogo wa Himo

KAMPUNI YA IPP KUJENGA KIWANDA CHA SIMU JANJA(SMARTPHONE)

Image
KAMPUNI YA IPP KUJENGA KIWANDA CHA SIMU JANJA(SMARTPHONE) IPP ikishirikiana na Kampuni ya TouchMate inajenga kiwanda cha kutengeneza simu janja Simu hizo zitakuwa na uwezo wa kukaa na chaji kwa wiki 1 na kuweza kuchajiwa kwa nguvu ya jua

HAJI MANARA ATAPA SHAVU LA UBALOZI ASAS

Image
Ofisa habari wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba Haji Manara ameongezewa majukumu mengine ya kufanya mbali na kuwa ofisa atakuwa balozi wa kampuni kubwa inayoaminika kutoa ajira kwa vijana na kutoa sapoti kwenye sekta ya michezo. Manara amesema kuwa kwake ni faraja kuweza kuongezewa majukumu, kwani ni heshima na fahari hasa kuwa balozi wa kampuni kubwa nchini. “Nawashukuru Asas kwa kunipa heshima kubwa ya kuwa balozi wa bidhaa zenu na kampuni yenu kubwa kabisa nitatumia vipawa vyangu kuhakikisha nakuza taswira ya kampuni,” alisema. Manara amekuwa na furaha kubwa baada ya kuona amefanikiwa kumpapasa mpinzani wake Masau Bwire kwa kuwa alishindwa kumjibu kutokana na ushindani wa Ligi ulivyo, ameteuliwa kuwa balozi wa kampuni ya Asas pia ni Ofisa habari wa Simba hivyo majukumu kwake yameongezeka.

UTAFITI: NJUGU ZINAVYOBORESHA NGUVU ZA KIUME.

Image
Utafiti: Njugu zinavyoboresha nguvu za kiume   Moja kati ya changamoto kubwa inayoikabili dunia hivi sasa, ni tatizo la kuzorota kwa ufanisi katika utungaji mimba ili kufanikisha agizo la Mwenyezi Mungu, “Zaeni Mkaongezeke”. Tatizo hilo kwa asilimia kati ya 40 hadi 50, kwa mujibu wa tafiti za kisayansi linasababishwa na wanaume kutokuwa na mbegu bora zenye ufanisi ikiwa ni pamoja na tatizo la nguvu za kiume. Katika kutafuta suluhisho, mengi yamefanywa na watafiti na kubainika kuwa ulaji, unywaji na uvutaji ni chanzo kikuu cha tatizo hilo. Utafiti uliofanywa hivi karibuni na wanasayansi nchini Marekani umebaini kuwa njugu zinaweza kusadia kuboresha mbegu za kiume na kuongeza nguvu za kiume. Watafiti hao, katika kutafuta majibu ya matokeo ya njugu, liliwatumia wanaume 119 wenye umri kati ya miaka 18-35. Watafiti hao waliwagawa wanaume hao katika makundi mawili, kundi moja la wanaume walikula njugu gramu 60 kwa siku kwenye mlo wao. Halafu kundi lingine halikujumuisha njugu...

FAHAM AFYA YAKO KUTUMIA RANGI YA MKOJO

Image
FAHAM AFYA YAKO KUTUMIA RANGI YA MKOJO Je unafahamu ya kwamba rangi ya mkoja inakupa matokea sahihi kuhusu afya yako? Kama jibu ni hapana basi makala haya yanakusu wewe, kwani rangi ya mkoja kwa mujibu wa watalamu wa afya unauwezo mkubwa wa kukuoa ukweli juu ya afya yako. 1. Mweupe kabisa (Usio na Rangi): Unakunywa maji mengi. 2. Manjano iliyochanganyika na Kijani kidogo. Ni kawaida, una afya na Mwili wako una maji ya kutosha. 3. Manjano iliyo pauka.Upo kawaida tu. Endelea kunywa maji ya kutosha 4. Njano iliyo kolea. Upo kawaida lakini unashauriwa kunywa maji ya kutosha. 5. Njano inayokaribia kufanana na Kahawia au Rangi kama ya Asali. Mwili wako hauna maji ya kutosha. Kunywa maji kwa wingi sasa. 6. Rangi ya Kahawia. Huwenda una Matatizo kwenye Ini lako au Upungufu mkubwa wa Maji mwilini. Kunywa maji ya kutosha na umwone daktari kamali hii ikiendelea. 7. Rangi ya Pinki inayokaribia kuwa kama Nyekundu. Kama hujala matunda yoyote yenye asili ya uwekundu, basi huwenda una ...

FAHAM NJIA ZA KUEPUKA KUWA NA HARUFU MBAYA MDOMONI.

Image
FAHAM NJIA ZA KUEPUKA KUWA NA HARUFU MBAYA MDOMONI. Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri maisha ya mtu kimahusiano si kwa mpenzi tu bali marafiki na jamii kwa ujumla. Pia kuwa na harufu mbaya mdomoni uondoa haiba ya kupendwa kwani hata unapoongea wengi watakwepa kuongea moja kwa moja na wewe kwa sababu ya harufu mbaya inayotoka mdomoni mwako. Chakula unachokula kina athiri hewa inayotoka mdomoni au sehemu nyingine za mwili wako. Baadhi ya vyakula vina matokeo mabaya sana kwa hurufu unayotoa mdomoni.  Harufu mbaya mdomoni si ugonjwa wa kuambukiza haina haja kuogopa ukikutana na mtu mwenye harufu mbaya mdomoni kwamba atakuambukiza. Pia tatizo kubwa ni kwamba watu wenye harufu mbaya mdomoni hawajijui kwamba wana harufu mbaya. Asilimia 85 - 90% ya tatizo la harufu mbaya mdomoni asili yake ni kinywa chenyewe. Pia kiwango cha harufu hutofautiana kutokana na muda (mchana, usiku na asubuhi). Harufu nyingi mbaya mdomoni hutokana na vyakula vyenye asilia y...
Image
WANAUME, NA WANAWAKE, HIZI NDIZO ISHARA KUWA BINTI HUYO HANA NIA YA KUINGIA KATIKA UHUSIANO WA MUDA MREFU NAWE. Mwanamume mmoja aliwaandikia wanaume wenzake tahadhari kuhusiana na ikiwa msichana alikuwa na nia ya kukaa kwa muda mrefu au kutoweka baada ya muda mfupi. Ishara kwamba hataki uhusiano wa kudumu Zifuatazo ni pointi alizotoa kutetea wazo lake. Wanaume mnaweza kusoma kutoka kwake ikiwa hamtaki kuvunjika moyo. 1. Anakuweka siri? Ikiwa hajawajulisha marafiki wake au dada na ndugu zake kukuhusu, huenda wewe siye anayetaka kutolea maisha yake. 2. Hayuko katika mipango yako ya siku za usoni? Ikiwa umemtajia mipango yako unayotaka kumshirikisha na umegundua hana hamu katika mipango hiyo, ni wazi kabisa unapoteza muda wako. 3. Mawasiliano Ishara kwamba hataki uhusiano wa kudumu Ikiwa mawasiliano kati yenu yameadimika, basi hakuna haja ya kuwa katika uhusiano huo. Picha: UGC Wanawake hudhaniwa kupenda sana kuzungumza. Lakini ukiona ameanza kuepuka mazungumzo nawe,...

FAHAMU SABABU ZA KUWA NA U.T.I SUGU

Image
FAHAMU SABABU ZA KUWA NA U.T.I SUGU MAAMBUKIZI kwenye njia ya mkojo ( Urinary Tract Infection kifupi U.T.I) ni maambukizi yanayoshika nafasi ya pili kuupata mwili mara nyingi zaidi. Maambukizi haya hufanya mtu kukosa raha na kwa baadhi ya watu hasa wanawake ni tatizo la kiafya linalojirudiarudia mara nyingi. Kwa bahati mbaya ni kwamba tiba iliyozoeleka kwa U.T.I ni kutumia dawa za kuua bakteria (antibiotics) ambapo bakteria wanaosababisha ugonjwa huu wanaoitwa E.coli wameanza kuwa sugu dhidi ya hizi dawa hivyo kusababisha wagonjwa wengie kupata U.T.I sugu. U.T.I ni mkusanyiko wa maambukizi eidha ya fangasi, virusi au bakteria ambayo yanatokewa kwenye njia ya mkojo ya mwanamke na mwanaume. Tunaposema njia ya mkojo tunaongelea figo zote mbili, mirija inayotoa mkojo kutoka kwenye figo hadi kwenye kibofu cha mkojo huitwa ureter, kibofu chenyewe  na mrija wa kutoa mkojo nje kutoka kwenye kibofu. Kazi ya figo ni kuchuja maji yaliyopo kwenye damu na kutoa maji yaliyozidi na taka...

Mama Kanumba ampigia magoti Muna kufuatia kauli yake ‘Muna alinitukana sana, Mungu ametenda’

Image
Mama Kanumba ampigia magoti Muna kufuatia kauli yake ‘Muna alinitukana sana, Mungu ametenda’ Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba, amemuomba msamaha mwanadada Muna Love kutokana na maneno yake “Muna alinitukana sana, na mungu ametenda” kauli ambayo aliyatoa siku chache baada ya Muna kufiwa na mtoto wake. mama huyo alidai aliitoa kauli hiyo kwa hasira kwani mwanadada huyo wakati yeye amefiwa na mtoto wake Kanumba alizungumza maneno machafu juu yake. Akiongea na Time Fm wiki hii, Mama Kanumba alisema kwamba watu hawakumuelewa alichokimaanisha na watu walikata video fupu tu ya yale yaliyosambazwa. “Muna mwanangu pole sana, ni donda hilo ambalo haliponi ni donda ndugu ila naomba unisamehe Mama Kanumba amesema kwamba hana nia mbaya na hakuomba kitokee kilichotokea, watu walininukuu vibaya. Na wewe maneno uliyonisema mwanzoni hukujua kesho mwanangu, wote ni mapenzi ya mungu mimi sina nia mbaya,” alisema Mama Kanumba. Mama Kanumba amesema kwamba hana nia mbaya na hakuomba k...

CHINA YAONYA NCHI YEYOTE YA KIGENI KUINGILIA MASWALA YA CAMBODIA

Image
CHINA YAONYA NCHI YEYOTE YA KIGENI KUINGILIA MASWALA YA CAMBODIA. Afisa mwandamizi wa China amempongeza Waziri Mkuu wa Cambodia Hun Sen kwa ushindi wa chama chake katika uchaguzi wa wabunge wa Jumapili. Wakati huo huo imeonya nchi yoyote kuingilia uchaguzi huo baada ya upinzani kudai kuwa uchaguzi huo uligubikwa na udanganyifu mkubwa, huku nchi za magharibi zikiendelea kukosoa utawala wa nchi hiyo. China ni mshirika mkuu wa kiuchumi na kidiplomasia wa Cambodia. Chama cha CCP kinachoongozwa na Hun Sen, aliyekuwa askari wa Khmer Rouge, kilitangaza kuwa kilishinda viti 125 katika uchaguzi wa wabunge, uchaguzi ambao chama kikuu cha upinzani cha PSNC hakikushiriki baada ya kuvunjwa mwaka uliyopita. Naibu kiongozi wa PSNC alitaja uchaguzi huo kama "kifo cha demokrasia". Mjumbe wa serikali ya China Wang Yi, mwanadiplomasia wa juu katika nchi hiyo, amesema katika taarifa kwamba uchaguzi ulikuwa ni udhihirisho katika "kuunga mkono" na "kuwa na imani...

Karibu katika asubuhi kuangalia vichwa vya habari katika magazeti ya Leo August, 2

Image