JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA KUDUMAA, KUSINYAA, KUNYWEA NA KURUDI NDANI KWA MAUMBILE YA KIUME PAMOJA NA TIBA DHIDI YA MAUMBILE YA KIUME YALIYO DUMAA NA KUSINYAA KWA SABABU YA PUNYETO.
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA KUDUMAA, KUSINYAA, KUNYWEA NA KURUDI NDANI KWA MAUMBILE YA KIUME PAMOJA NA TIBA DHIDI YA MAUMBILE YA KIUME YALIYO DUMAA NA KUSINYAA KWA SABABU YA PUNYETO.
Kudumaa , kusinyaa na kunywea au kurudi ndani kwa uume ni tatizo linalo wakabili wanaume wengi duniani.
Dalili za tatizo hili ni pamoja na kuwa na maumbile madogo sana yaliyo dumaa, sinyaa na kurudi ndani kiasi cha kuyafanya yaonekane kama ya mtoto mdogo.
VYANZO VYA TATIZO LA KUDUMAA NA KUSINYAA KWA MAUMBILE YA KIUME.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kisayansi, tatizo la kudumaa na kusinyaa kwa maumbile ya kiume huchangiwa na mambo mengi.
Baadhi ya mambo hayo ni pamoja na kufanya punyeto kwa muda mrefu, kuugua chango la kiume, kuugua ngiri, kuwa na uzito & unene ulio pitiliza, kufanyiwa upasuaji wa tezi dume , uzee na kuugua maradhi yasababishayo kupinda kwa uume.
Katika makala haya , tutaangazia namna suala la upigaji punyeto linavyo sababisha kudumaa na kusinyaa kwa maumbile ya kiume.
NINI HUSABABISHA UUME KUSINYAA,KUDUMAA, KUNYWEA NA KURUDI NDANI KIASI CHA KUUFANYA UONEKANE KAMA WA MTOTO ?
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kisayansi, Sababu kubwa inayo sababisha kudumaa, kusinyaa na kurudi ndani kwa uume ni kupungua ama kukosekana kabisa kwa homoni zijulikanazo kitaalamu kama HGH ambazo pamoja na mambo mengine , zina husika na kuchochea ukuaji wa seli zinazo husika na ukuaji wa misuli ya uume na uume kwa ujumla.
MAMBO YANAYO SABABISHA KUPUNGUA AMA KUKOSEKANA KWA HOMONI ZINAZO SAIDIA KUCHOCHEA UKUAJI WA MISULI YA UUME.
Kwa mujibu wa tafiti za kitaalamu, mambo yanayo sababisha kupungua na/ ama kukosekana kwa homoni zinazo saidia kuchochea ukuaji wa misuli ya uume ni pamoja na :
1. Kujengeka kwa mafuta kwenye mishipa ya ateri ipitishayo damu kwenda kwenye misuli ya uume na hivyo kuzuia kutiririka kwa damu kwenda kwenye misuli ya uume.
2. Kujengeka kwa tishu zisizo vutika ndani ya mishipa ya ateri. Tishu hizi huzuia mishipa ya ateri kupanuka na hivyo kushindwa kuongezeka ukubwa.
KWANINI PUNYETO HUSABABISHA UUME KUSINYAA, KUNYWEA NA KURUDI NDANI KIASI CHA KUONEKANA KAMA UUME WA MTOTO MDOGO ?
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, kufanya punyeto kwa muda mrefu huathiri na kuharibu mishipa na misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri na hivyo kuzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka pamoja na damu kutiririka kwenda kwenye misuli ya uume.
Mambo hayo mawili yanapotokea huathiri uzalishaji wa homoni muhimu zinazo husika na ukuaji wa misuli ya uume, na hatimaye hufanya uume wa mhusika kudumaa, kusinyaa, kunywea na kurudi ndani kiasi cha kuufanya uonekane kama wa mtoto.
Homoni hizo hujulikana kama HGH na huzalishwa kwenye ini.
Sababu nyingine inayo tajwa na wataalamu ni kwamba, mtu anaye fanya punyeto hutumia akili, nguvu na nishati nyingi sana, jambo ambalo huathiri utendaji wa ogani nyingine muhimu katika mwili , likiwemo ini.
Ini linapo kosa nishati ya kutosha hushindwa kufanya kazi zake vizuri na moja kati ya kazi kubwa za ini ni pamoja na uzalishaji wa homoni zijulikanazo kitaalamu kama HGH ambazo kama ilivyo andikwa hapo juu, zinahusika na kuchochea ukuaji wa sehemu mbalimbali katika mwili wa mwanadamu ikiwemo misuli ya uume.
Mbali na kuathiri utendaji wa ogani nyingine mwilini, upigaji punyeto husababisha athari nyingine kwenye mwili wa mwanadamu kama vile uchovu sugu wa mwili pamoja na kunyonyoka kwa nywele.
Athari nyingine za upigaji punyeto ni pamoja na kupoteza kumbukumbu, kuwahi kufika kileleni ambako husababishwa na kulegea
kwa mishipa ya ateri, kushindwa kurudia tendo la ndoa, kukosa hamu ya tendo la ndoa, uume kusimama katika hali ya ulegelege, maumivu wakati wa tendo la ndoa husuani wakati wa kurudia tendo la pili na mara baada ya tendo la ndoa la kwanza.
KWANINI WATU WENGI WANAO JIHUSISHA NA UPIGAJI PUNYETO WANA MAUMBILE MADOGO YA KIUME YALIYO DUMAA, SINYAA NA KURUDI NDANI.
Uzeofu unaonyesha kuwa, asilimia kubwa ya wanaume ambao wamewahi kufanya punyeto kwa muda mrefu, wanakabiliwa na tatizo la kuwa na maumbile ya kiume yaliyo dumaa, sinyaa na kurudi ndani.
SABABU KUBWA NI HII HAPA
Sababu kubwa ni kwamba vijana wengi wa kiume, huanza kujihusisha na punyeto wakiwa na miaka kumi na sita , kumi na saba au chini ya hapo.
Hiki ni kipindi ambacho vijana hawa ndio wanakuwa wamebalehe.
Na kwa mujibu wa tafiti za kisayansi, katika kipindi hiki cha balehe ndio kipindi ambacho homoni za HGH ambazo huhusika ukuaji wa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo maumbile ya kiume, huzalishwa kwa wingi.
Kama tulivyo ona hapo juu, upigaji punyeto huathiri uzalishwaji wa homoni hizo.
Mwisho wa siku maumbile ya kiume ya wahusika, hushinda kukua na kuishia kudumaa na kusinyaa.
Na hii ndio sababu kubwa wanaume wanao kabiliwa na tatizo hili husalia kuwa na maumbile yenye ukubwa ule ule wakati wa kubalehe.
NINI TIBA ASILIA YA TATIZO LA KUDUMAA, KUSINYAA NA KURUDI NDANI KWA MAUMBILE YA KIUME.
Kama uume wako umedumaa, umesinyaa, umelegea, umenywea na kurudi ndani kwa sababu ulifanya punyeto kwa muda mrefu na unataka kuondokana na hali hiyo.
HII NI HABARI NJEMA SANA KWAKO!
Yapo MAFUTA YA ASILI ambayo HUTIBU na KUPONYESHA KABISA tatizo la KUDUMAA, KUSINYAA, KUNYWEA NA KURUDI NDANI KWA MAUMBILE YA KIUME.
Ni mafuta ya asili kabisa yasiyo na kemikali yoyote ya kiwandani ambayo hutibu na kuponyesha kabisa tatizo la kudumaa na kusinyaa kwa uume ndani ya siku thelathini.
JINSI YANAVYO TUMIKA
Mafuta haya hutumika kwa kuchua uume. Na hutumika mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa muda wa siku thelathini.
MAMBO YANAYO FANYWA NA MAFUTA HAYA
Mafuta haya husaidia katika mambo yafuatayo :
1. Kuimarisha na kuipa nguvu mishipa iliyo legea kwa sababu ya punyeto
2. Hunenepesha uume ulio sinyaa kwa sababu ya punyeto
3. Hurefusha uume ulio dumaa na kurudi ndani kwa sababu ya punyeto.
4. Huimarisha na kuongeza nguvu za kiume
5. Hukupa uwezo wa kurudia tendo bila kuchoka
6. Hukupa uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu.
7. Husaidia kuongeza na kuimarisha nguvu na nishati ya misuli ya uume.
Comments
Post a Comment