MBUNGE AUKOSOA WIMBO WA TAIFA

kuwa huo unaotumika bungeni una makosa matatu yakiwemo ya maneno, ala na midundo.

Ameyasema hayo kwenye kikao cha kwanza cha Mkutano wa 11 wa Bunge wakati anaomba mwongozo wa Spika baada ya kipindi cha maswali na majibu.

Kwa mujibu wa Mh.Mapunda, wimbo wa taifa unaotumika bungeni ni tofauti na ulioidhinishwa na lililokuwa Baraza la Muziki Tanzania (BAMUTA) na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA).

Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amesema, kabla ya kutoa mwongozo alisema ni lazima ajiridhishe kwa kuusikiliza kwanza“Kwa hiyo kama kutakuwa na makosa nitatoa mwongozo hapo baadaye.” alisema Dk. Ackson.

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

JE WAJUA FAIDA YA BAKING SODA KWA AFYA YAKO

PICHA ZA UCHI NI SHIDA KWA JOGOO WAKO!!!