TAFAKARI LEO
TAFAKARI YA LEO
Kijana huyu wa mtaani huwa kila mara anaomba pesa kwenye magari, alivyosogelea gari la huyu mama pichani alimuona ana mtungi mkubwa wa gesi, (ukiangalia picha kwa karibu utauona). Akamuuliza "mama huo mtungi ni wa nini"? Mama akamjibu ni wa kuupa (supply) mwili wangu na hewa ya Oxygen. Huyu kijana pichani akalia sana kama anavyoonekana.
Huyu mama anaishi kwa kutembea na mtungi wa gesi pamoja na ka jenereta kadogo popote anakoenda ili mwili uweze (kupumua) kupata hewa ya oxygen. Na hii ndio hali ya huyu mama kwa miaka mingi iliopita.
Huyu mtoto alijiona mwenye afadhali na asie na shida na akaomba msamaha kwa Mungu kwa kulalamikia hali alioko nayo ya maisha duni.
CHA KUJIFUNZA HAPA
Usimlaumu Mungu kwa hali ulioko nayo kwasasa omba Mungu rehema zake ziwe juu yako na hakika kuna siku Mungu atakuinukia pale ulipo.
Mungu sio mkatili mpaka akuache uteseke kiasi hicho. Kama unahuitaji leo hii sukuma maombi yako na sadaka, inenee sadaka yake mwambie Mungu shida yako kupitia sadaka hiyo.
Katika eneo Mungu ametupatia nafasi ya kumjaribu ni kupitia sadaka. Shida zetu ni ndogo sana mbele ya Mungu wetu Mkuu ambaye hajawahi kushindwa jambo.
Kama aliweza kupasua bahari ya shamu iweje hako ka shida kako Mungu ashindwe kukaondoa. Pokea kibali, pokea divine connection katika divine plan ya Mungu juu ya maisha yako.
Mungu aku connect na mtu au kampuni au sehemu ambayo ushuhuda wako upo.
Usimsahau Mungu pale anapokufanikisha jambo lolote in Jesus name, Amen!!
Asante share tafathali ...share share na gusa hapa=>>https://tanzaniabongotz.blogspot.com/2018/04/billnas-talk-about-nandy-today.html
Comments
Post a Comment