MRADI WA SGR NI MKOMBOZI KWA TANZANIA
MRADI WA SGR NI MKOMBOZI KWA TANZANIA.
.
chanzo na David Maphone,
.
NIMEJIZUIA SANA LAKINI NAFSI INANISUTA MRADI WA SGR NI MKOMBOZI KWA TANZANIA.
.
#Uwezo wa TRENI hii ni mkubwa wa kubeba mzigo mzito wa exel 35 na kuweza kusafirisha TANI milioni 17.kwa mwaka. SOLUTE MZEE.!!.
.
#TRENI ina mwendokasi wa KM 360 kwa saa hii ni ya mizigo na TRENI ya abiria ina mwendokasi wa KM 120 kwa saa NYONGEZA kwa TRENI hii ya mizigo ndiyo inakasi zaidi kuliko TRENI zote katika bara la Afrika, SOLUTE MZEE.!!
.
#TRENI inauwezo wa kuendeshwa kwa kutumia mafuta au UMEME ni bora kuliko zote katka bara la Africa, SOLUTE MZEE !!
.
#TRENI hii ina TEKNOLOJIA ya kisasa kuweza kuona na kuwasiliana kutoka DSM mpaka MWNZ na kuweza kuhudumia TRENI 4 kwa sehemo moja na kwa wakati huo huo, SOLUTE MZEE !!
.
#TRENI hii unaweza kulala DODOMA na kufanya kazi DSM kwa kutumia masaa mawili tu DAR TO DOM hata wajomba zangu wa TABORA wanaweza kujidamka mapema na kufanya shopping DSM na kurudi Tabora kulala, SOLUTE MZEE !!
Ndugu zangu yapo mengi sana mimi kwa leo nimegusa hayo tu, Swali langu hivi hata haya tunatakiwa tuyapinge kwa sababu ni wapinzani, ? Kwani malengo ya mfumo wa vyama vingi ni nini haswa? Hivi CHADEMA ni kweli chama cha siasa kwajili ya maendeleo ya watu?
.
#NaBado David Maphone katika ubora wake miaka 800.
Comments
Post a Comment