UKIMWI NA EBORA NI SIRAHA ZA MANGAMIZI pt.1
Salim msangi
“Usifanye chochote kinyume na roho yako inavyo kuambia, hata kama nchi nzima inakuambia ufanye” –Albert Eistien
“ Embu tujitizame tu sisi. Kila kitu kinakwenda kinyume; kila kitu ni chini juu na juu chini. Madaktari wanaharibu afya, wanasheria wanaivunja haki, vyuo vikuu vinaiharibu elimu, serikali zina uvunja uhuru, vyombo vikubwa vya habari vina haribu taarifa na dini zinaharibu roho” – Michael Ellner
“ … Afya ya watu hapana shaka ndiyo msingi ambao furaha zote na nguvu zote za nchi ndipo zinapo tegemea … lakini ikiwa idadi ya watu katika nchi haiongezeki au kila mwaka inapungua – kwa, idadi, nguvu, afya, fahamu nchi hiyo imefikia tamati. Afya ya wananchi, kwa maoni yangu ndiyo jukumu la kwanza kabisa kwa kiongozi wa nchi.” Benjamin Disraeli, 1877, Waziri Mkuu wa Uingereza.
Tangu janga hili la ukimwi lilipotangazwa rasmi mwanzoni kabisa mwa miaka ya 80, takwimu za mwezi Novemba 2011 kutoka kwenye mashirika yaUNAIDS, WHO naUNICEF zilionesha kuwa watu milioni 34 duniani kote wanaishi na virusi vya ukimwi, kati yao wamo milioni 22.9kutoka kwenye nchi zilizomo kusini mwa jangwa la Sahara peke yake. Katika maambukizo mapya duniani kote kwenye takwimu hizo ni watu milioni 2.7 kati yao milioni 1.9 ni kutoka kwenye nchi zilizomo kusini mwa jangwa la Sahara. Vifo vilivyo tokana na janga hilo mpaka mwaka 2010 kutokana na takwimu hizo ni milioni 1.8 duniani kote, ambapo milioni 1.2 ni kutoka kwenye nchi zilizomo kusini mwa jangwa la Sahara.
Tangu mwaka 1987 idadi imekuwa ikiongezeka ya madaktari na wanasayansi wakihoji je kama kweli virusi vya HIV ndiyo vyenye kusababisha ukimwi. Baadhi yao kazi zao zimethibitisha kuwa virusi vya HIV havijapata kuwa ndiyo sababu hasa ya mtu kuugua gonjwa hili la ukimwi na wengine wakisema kuwa HIV peke yake haiwezi kusababisha ukimwi ila vitahitaji kuwepo kwa kisababisho kingine.
Ni jinsi gani hasa virusi wa HIV wanazishambulia na kuziua T cell na hatimaye kumsababishia muhusika ugonjwa wa ukimwi bado haifahamiki. Gallo mwenye pamoja na timu yake, anayetajwa kama mgunduzi wa virusi hawa wameshindwa kuudhihirishia ulimwengu wa kisayansi na ulimwengu wa madaktari kuwa ni namna gani HIV wanaweza kuzishambulia T Cell. Lakini kingine cha kushangaza ni kuwa wengi wanaitwa wana maradhi ya ukimwi ni wale ambao wamepimwa na miili yao imekutwa inayo kinga dhidi ya virusi wa HIV. (Peter H. Duesberg & Bryan J. Ellison - ‘Is the AIDS virus a science Fiction?, Immunosuppressive behavior, not HIV, may be the cause of AIDS’ – Makala kwenye jarida la Policy Review la 1990.)
Narudia tena, yaani miili yao baada ya vipimo imeonekana kuwa na kinga dhidi ya virusi wa HIV ndiyo wanao ambiwa wana virusi vya HIV ambavyo vinaweza kuwasababishia ukimwi. Hawaambiwi kuwa miili yao tayari inakinga dhidi ya HIV isipokuwa wanaambiwa wana HIV na kuanzia hapo wanaanza kutumia dozi za ARV. Lakini pia kutokana na takwimu hizo hapo juu utaona ukimwi upo zaidi kwenye bara la Afrika kuliko sehemu nyingine yoyote duniani na hii nayo inatoa wasi, wasi kwa watafiti huru na kwa mtu yoyote mwenye fikra huru, ikiwa mazingira ya kupatikana kwa gonjwa hili kote duniani yanalingana kwa nini basi ni Afrika peke yake, tena kwenye nchi zilizomo kusini mwa janga la Sahara?
Tangu UKIMWI ulipotangazwa kiserikali wazi, wazi mnamo mwaka 1981 kumekuwa na tetesi kwamba UKIMWI ni janga lililotengenezwa maabara na binaadam kwa kutumia virusi vya HIV (Human Immunodeficiency Virus) ambavyo kwa makusudi viliingizwa kwa mashoga wa kimarekani na kwa Waafrika. Ingawa watu wengi wasiopenda kufikiri au kutizama mambo kwa kina wanapinga uwezekano huo lakini kuna vyanzo mbali, mbali vya ushahidi vinavyoelezea na kuonesha kuwa UKIMWIumetengenezwa maabara.
Mazingira kama hayo unayapata tena kwenye gonjwa lingine linalo kwena kwa jina laEBOLA.
Virusi vya EBOLA kiajabu ajabu vilitokea kwenye Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwaka 1976 na baada ya hapo vikawa vinaibuka kama kizuka maeneo mengine ya nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara bila maelezo ya kina ya vipi na wapi umetokea ugonjwa huo.
Waoaitwa ‘wanasayansi’ kwenye eneo la utabibu wa kisasa wanakuja na nadharia kama ile ya UKIMWI kwamba ni nyama ya nyani aliyeathirika na virusi hao ndiyo iliyosababisha baada ya nyama hiyo kuliwa na binadamu.
Taarifa za kiserikali zinazotolewa na wanao jiita wataalam wa ukimwi kama Robert Gallo, aliye kuja na nadharia kuwa ukimwi unatokana na Greenmonkeys , tarifa hizo zinaporudiwa mara kwa mara na mamia na maelfu ya vyombo vya habari duniani habari hizi zinageuka kuwa ni “Ukweli wa Msingi” juu ya chanzo cha ukimwi. Lakini wakati huo, huo hao wataalam pamoja na vyombo vya habari wanakuwa kimya linapokuja suala kuwa kuna ukweli mwingine wa msingi unaopingana na taarifa hizo za kiserikali kuhusu UKIMWI kuwa ni zao la Greenmonkeys.
Tafiti kadhaa zilizofanyiwa majaribio zinaonesha kuwa UKIMWI ni maradhi yaliyotengenezwa maabara na binaadam, tafiti hizo zinaonesha kuwa maradhi hayo yamelengwa kuwafuta aina fulani ya watu wasiohitajika kuishi.
Jacob Segal Profesar wa Baiolojia katika chuo Kikuu cha Hambord katika mashariki ya Ujerumani, anaamini kuwa virusi wa HIV walitengenezwa katika Maabara za kivita za Marekani za Fort Detrick, Maryland. Kutokana na tafiti yake virusi hivyo vilitengenezwa kati ya mwaka 1977 na 1978, kisha vikajaribiwa kwa wafungwa wa magereza ambao walijitolea kwa majaribio hayo kwa masharti kuwa wataachiwa mapema na kisha wafungwa hao wakavisambaza virusi hivyo kwa wengine. Profesa huyu amelaumiwa na serikali ya Kisovieti kwa kutoa habari asizostahiki kutoa.(Dr. Leonard G. Horowitz, ‘AIDS and Ebola - Where Did They Really Come From?’)
Tukiachana na hizo tafiti kwa muda halafu tutazirejelea baadaye, turudi kwenye miaka ya 1970 ambapo historia ya maradhi haya ilianza kuandikwa. Katika kipindi hicho idadi ya watu weupe wa nchi za Amerika na Ulaya ilikuwa ikipungua kwa kasi sana na kama itakumbukwa ni katika kipindi hichi elimu kuhusu uzazi wa mpango ndiyo ilikuwa imefanikiwa kwa hali ya juu sana.
Hivyo kulikuwa na haja ya kuchukua hatua za makusudi kupambana na ongezeko kubwa la watu katika nchi zinazoendelea ama sivyo nchi hizo za dunia ya tatu zitakuwa ni tatizo kubwa na kitisho kwa utawala unaoandaliwa wa kimasoni.
Nguvu na bidhaa za watu wa Magharibi zitanyonywa na kupunguzwa kabisa na tishio hilo la ongezeko la watu kwa nchi zinazoendelea na kufanya mataifa hayo ya Ulaya yawe mataifa tegemezi kwa nguvu kazi kutoka nchi za Dunia ya Tatu.
Kwa hiyo tabaka lililojengwa baina ya ongezeko la watu katika nchi za Dunia ya Tatu na nchi za Dunia ya Kwanza lazima lifukiwe ilikuhakikisha usalama na uwezekano wa kusimamisha dola ya kimasoni.
Hivyo kulikuwa na haja ya kuchukua hatua za makusudi kupambana na ongezeko kubwa la watu katika nchi zinazoendelea ama sivyo nchi hizo za dunia ya tatu zitakuwa ni tatizo kubwa na kitisho kwa utawala unaoandaliwa wa kimasoni.
Nguvu na bidhaa za watu wa Magharibi zitanyonywa na kupunguzwa kabisa na tishio hilo la ongezeko la watu kwa nchi zinazoendelea na kufanya mataifa hayo ya Ulaya yawe mataifa tegemezi kwa nguvu kazi kutoka nchi za Dunia ya Tatu.
Kwa hiyo tabaka lililojengwa baina ya ongezeko la watu katika nchi za Dunia ya Tatu na nchi za Dunia ya Kwanza lazima lifukiwe ilikuhakikisha usalama na uwezekano wa kusimamisha dola ya kimasoni.
Mwaka huo, huo aliyekuja kuwa raisi wa Marekani mwaka 1976 James Earl Carter, alihakiki taarifa yenye kurasa 600 yenye kichwa cha habari “Global 2000”, iliyoandikwa na kinara wa New World Order na muwaji mkubwa kati ya wauaji wengi wa halaiki na mfuasi wa asasi kadhaa za siri bwana Henry Kissenger. Kati ya vitu vingi kwenye taarifa hiyo ililenga kupunguza idadi ya watu duniani kwa njia ya vita, njaa na magonjwa na kuondoa idadi ya watu bilioni 2.5 ifikapo mwaka 2000.
“ Ili kudhibiti ongezeko la watu Duniani lazima tupunguze watu 350,000 kwa siku. Ni kitu cha kutisha kusema hivyo, lakini ni vibaya zaidi kutokusema, kwa mwaka mmoja tutakuwa tumepunguza watu milioni 128” ( Jacques-Yves Cousteau alisema kwenye mahojiano ya jarida la UNESCO (Novemba 1991, Uk 13))
Cousteau alimaanisha kuwa viongozi wa kidunia wanashikiliwa na Freemasons wanaaminika kumi ya kupunguza idadi ya watu, kabla haujafika muda wa kufanya maamuzi ya kutisha zaidi.
Thomas Ferguson kiongozi wa kimarekani anayeshughulika na masuala ya idadi ya watu Marekani, Office of Population Affairs (OPA), aliandika mwanzoni mwa miaka ya 1970
“ Kuna aina moja tu ya maudhui nyuma ya kazi yetu yote - lazima tupunguze idadi ya watu. Kushindwa kwetu kupunguza idadi ya watu kwa njia rahisi kumetengeneza msingi wa kuanguka na kushindwa kwa suala la ulinzi. Serikali ya El Salvador wameshindwa kutumia mipango yetu kupunguza idadi yao ya watu sasa wanapambana na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya hili. Bado wana watu wengi pale. Vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa kisi fulani vinasaidia kupunguza idadi ya watu. Njia rahisi na ya haraka zaidi ya kupunguza idadi ya watu ni kwa njia ya njaa kama Afrika na kwa maradhi kama Black Death. Tunaagalia mbinu zetu zinataka nini na tunasema hii nchi ni lazima ipunguze watu wake ama sivyo itatupatia matatizo. Kwa hiyo hatua zinachukuliwa”.( Executive Intelligency Review, Special Report,25 Juni 2000, Uk 28-30)
Huu ni mwanzo wakufahamu ni kwa nini vita haviishi Afrika, ni kwa nini Umoja wa Mataifa haukufanya chochote katika mauwaji ya halaiki ya Rwanda ya mwaka 1994 mpaka pale zaidi ya milioni moja walipokufa ndipo ikajitokeza, ilikuwa wapi? Utafahamu ni kwanini mpaka sasa DRC Congo imepoteza watu milioni 6 kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe na hakuna anayesema kitu. Utajua ni kwa nini dunia kila mwaka inapoteza watu milioni 20 kwa njaa wakati asilimia kumi ya bajeti ya ulinzi ya taifa kama Marekani inatosha kuufuta umasikini duniani, wakati matani ya chakula katika nchi zilizo endelea yanamwagwa baharini kila mwaka ili kulinda soko la bidhaa zao kwenye soko la dunia.
“Zinaweza kuwa ni habari za kushangaza kwa watu wengi, lakini vipimo vya HIV vinavyo fanywa na vituo vya afya kwa watu, leo hii havifanywi kwa ajili ya kuangalia kuwepo kwa virusi vya HIV. Bali vinafanywa kwa ajili ya kuangalia kuwepo kwa kinga ya HIV ambayo inatengenezwa kiasili na mfumo wa ulinzi mwilini. Lakini si kwa vile una aina hii ya kinga dhidi ya HIV ndani ya mwili wako ndiyo tuseme una HIV. Wakati mwingine zaidi ya asilimia 50 ya vipimo vinavyo onesha mtu anavyo virusi vya HIV ni uwongo, unao wasababishia mashaka, hofu na matatizo ya kisaikolojia wahusika walio ambiwa kimakosa kuwa wana virusi vya HIV”( Mikes Adams, makala kwenye jarida la the health rangers Julai 20, 2010. ‘HIV Vaccines Cause 50 Percent False Positive Rate in HIV Tests’)
Habari za kushangaza ziliwekwa hadharani na tafiti iliyo fanywa na Journal of the American Medical Association. Tafiti hiyo ilithibitisha kuwa, wagonjwa ambao hawakuwa na virusi vya HIV walio shawishiwa kuchukua chanjo ya HIV waliishia kuwa na HIV ingawa kabla ya chanjo hawakuwa navyo, habari hii iliripotiwa pia na US News na World Report.(ibid)
Lakini hii ndiyo tabia ya chanjo zote za maadui zetu kama tutakavyo zidi kuona, ushauri nasaha ni kuwa fikiria mara mia moja kabla ya kwenda kupokea au kumpeleka mtoto wako kupokea chanjo. Taarifa hizo hapo juu zinaonesha kukosekana kwa ukweli, usahihi, uaminifu na uyakinifu kwenye vituo vinavyo endesha vipimo vya HIV na pia zinatuonya juu ya kwenda kupokea chanjo dhidi ya maradhi hayo ambapo chanjo hizo zitapelekea kuonekana kwamba una virusi vya HIV na hatimaye kupewa jina kuwa una maambukizo ya HIV na hivyo huna budi kutumia ARV kuzuia maambukizo mapya na kujikinga usipate ukimwi.
Watu wataanza kukunyanyapa kwa ugonjwa ambao hauna, hakuna kampuni ya bima itakayo taka kuingia mkataba na wewe, kuna nchi ambazo hutaruhusiwa kuingia kwa vile nchi nyingi zinataka ufanye vipimo vya HIV kwa wahamiaji wapya, unaweza kwenda jela na kushutumiwa kuwa unajaribu kufanya mauwaji kwa kulala na mtu ambaye hujamuambia kuwa unavyo virusi vya HIV (Ingawa kiukweli kabisa hauna) Ndoa inaweza vunjika, na mchumba anaweza kukimbia na jamii na familia inaweza kukutenga, hii yote ni kwa sababu tu, umeambiwa eti unavyo virusi vya HIV kupitia vipimo batili, lakini juu ya yote tumeshaona kuwa HIV peke yake haiwezi kumsababishia mtu ukimwi, au kwa uwazi kabisa HIV haisababishi ukimwi! Anaye sema HIV inasababisha ukimwi atoke mbele na authibitishie uma kinaga ubaga ni kwa vipi HIV inasababisha ukimwi.
Mpaka sasa tunamsubiri Galo na wenzake watuambie ni vipi HIV inasababisha ukimwi, tunamsubiri, tangu alipotuambaia mwaka 1981 mpaka leo hajathibitisha madai yake.
Punde nitakuelezea ni kipi kinacho sababisha......Inaendelea
Mpaka sasa tunamsubiri Galo na wenzake watuambie ni vipi HIV inasababisha ukimwi, tunamsubiri, tangu alipotuambaia mwaka 1981 mpaka leo hajathibitisha madai yake.
Punde nitakuelezea ni kipi kinacho sababisha......Inaendelea
Comments
Post a Comment