SERIKALI YA TANZANIA YAZUIA MANAMANO.
SERIKALI YA TANZANIA YAZUIA MANAMANO.
Serikali ya Tanzania kupitia maafisa wake kadhaa waandamizi wametoa kauli za kuyazuia maandamano ambayo yanaonekana kuhamasishwa kupitia mitandao ya kijamii yaliyopangwa kufanyika Aprili 26 kufuatia kuwepo na ukosoaji mkubwa wa utawala wa rais John Pombe Magufuli. Je unadhani umaarufu wa rais Magufuli unapungua au unaongezeka? NINI MAONI YAKO
Comments
Post a Comment