UKIMWI NA EBORA NI SIRAHA ZA MANGAMIZI Pt. 3
UKIMWI NA EBOLA NI SILAHA ZA MAANGAMIZI pt. 2
Salim msangi
Tumejaribu kuangalia kwa kina ni namna gani virusi HIV vinaweza kusababisha ukimwi. Lakini si kwenye uchambuzi yakinifu wa kisayansi, wala si kwenye elimu ya matibabu na wala si kwenye sifa na tabia ya virusi hawatuliko weza kupata uhusiano baina ya virusi wa HIV na ukimwi. Ukweli ni kuwa virusi hawa hawawezi kusababisha ukimwi katika kila hali kama tulivyo ona wenyewe kwenye maeneo ya msingi ambayo ndiyo yanayo shikiliwa na wale wanao beba nadharia hii ya HIV kusababisha ukimwi. Sasa kama HIV haisababishi ukimwi, je ni kipi hicho kinacho tupatia ukimwi?
Sababu zinazo msababishia mtu kuwa na ukimwi ni;
Sababu ya kwanza ni,kimazingira nayo inakutanisha vitu viwili, utapiamlo na ukosefu wa usingizi kwa muda mrefu. Mwaka 1985 mtafiti huru kwenye masuala ya ukimwi na mkurugenzi wa National Institute of Allergy and Infectious Diseases (NIAID) Dr. Anthony Fauci alitangaza kuwa utapiamlo ndiyo sababu kuu inayo sababisha upungufu wa kinga za mwili duniani kote, na hasa kwenye nchi zinazo endelea kama nchi za Afrika.
Utakumbuka takwimu zetu zilituonesha nchi zilizoko kusini mwa jangwa la Sahara ndizo zinazo ongoza kwa wagonjwa, maambukizo mpaka vifo kwa wagonjwa wa ukimwi na ndizo nchi zilizo na tatizo kubwa la lishe. Umasikini, hali duni ya maisha, maji yasiyo salama yote haya yanapelekea kuwepo kwa maradhi ya kuambukiza sehemu nyingi za Afrika.
Ukosefu wa usingizi kwa muda mrefu yote haya yanaudhoofisha mwili na kumpatia muhusika tatizo kubwa kwenye mfumo wa ulinzi wa mwili. Usingizi unasaidia mwili kujipumzisha, kuzalisha seli mpya zikiwemo za ulinzi, kuondoa seli zilizo kufa kama taka. Mtu anapo kosa usingizi kwa muda mrefu mfumo wa ulinzi lazima utadhoofu kwa vile hautakuwa na muda wa kujiboresha.
Tizama picha zote zinazo wekwa kwenye vyombo vya habari na mitandao kuhusu wagonjwa wa UKIMWI, utaona ni watu waliodhoofu kutokana na njaa, lishe duni na utapiamlo.
Sababu ya Pili ni ya Kikemikali.
Kemikali ambazo zinauathiri mfumo wa ulinzi wa mwili ni pamoja na dawa za AZT na tiba zingine za saratani, madawa ya protease inhibitors, dawa za maumivu, steroids, kokeni, heroini na methamphatamines kutaja kwa uchache.
Madawa ya saratani yanalenga kuharibu seli za bone-marrow ambazo kwazo seli zote za mfumo wa ulinzi ndiko zinako zalishwa. Pia zinaua seli za ulinzi zilizo kwisha tengenezwa na pia zinauwa B-Seli na seli nyekundu, maarufu kama red blood cells. Hii ndiyo sababu hakuna mgonjwa wa saratani anayetumia tiba ya aina hii na akapona au anayepigwa mionzi na akapona. Na hii ndiyo moja ya sababu zinatolewa kwa bei iliyo karibu na bure au bure kabisa sehemu mbalimbali duniani, kwa sababu lengo ni moja tu, kumuwa mtumiaji. (ibid)
Dawa za saratani zinauharibu mfumo wa usagaji wa chakula kwa kuuwa seli zilizopo sehemu ya ndani ya mfumo wa usagaji wa chakula na kuusababishia mfumo huo kupoteza uwezo wake wa kufyonza na kusaga virutubisho mbalimbali viingizwavyo na chakula, na hapo mgonjwa anapatwa na utapiamlo ambao nao utauwa mfumo wa ulinzi wa mwili. Hata pale zinapotumika kidogo dawa hizi za saratani zinauvunja nguvu kabisa mfumo wa ulinzi wa mwili, na kutengeneza mazingira ya mwili kupatwa na maradhi. AZT, ddl, ddC, C4T na 3TC yote haya ni madawa ya saratani na yanatumika kama sehemu ya mchanganyiko wa kutengeneza madawa ya kuongeza kinga na madawa ya kurefusha maisha kwa wagonjwa wa ukimwi.(ibid)
Mungu wangu umeona jina wanalo tumia,‘madawa ya kurefusha maisha’, kisaikolojia wanakuambia maisha yako ni mafupi na madawa hayo ndiyo yatakayo refusha. Kwanini maisha yako ni mafupi? Kwa vile eti una virusi vya HIV. Virusi ambavyo vipimo inaweza kuonesha kwamba unavyo kumbe hauna, virusi ambavyo hata ukiwa navyo havina madhara kabisa na mwili wako. Lakini watakurubuni kwa matangazo mazuri na yale ya kutisha ili uanze kutumia madawa hayo, ambayo hasa ndiyo yatakayo kupatia ukimwi, kwani yatakwenda kuuvunja vunja na kuulia mbali mfumo wako wa ulinzi wa mwili.
Kuna madawa mengi yanayo tumika ambayo yanakwenda kuudhoofisha kama siyo kuuwa kabisa mfumo wa ulinzi wa mwili, hasa pale yanapo tumika kwa kipindi kirefu. Madawa kama Protease inhibitors yana madhara makubwa kwenye ini, na kulisababishia ini kushindwa kufanya kazi yake. Madawa ya kutuliza maumivu yanapo tumika mara kwa mara huleta matatizo kwenye mfumo wa ulinzi wa mwili. Utafahamu sababu za kibiolojia na kisikolojia usikae mbali safari bada mbichi......
Comments
Post a Comment