Auliwa kwa deni la 4000

KITAIFA👉Mtu mmoja wilayani Mkalama Singida ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani kwa ugomvi wa shilingi 4000 tu! za Kitanzania uliotokea kwenye mchezo ya kubahatisha (KAMARI) na kusababisha kundi la wananchi wenye hasira kali 😠kufanya uharibifu kwa kuvamia kituo kidogo cha polisi Nkungi wakati wakimpiga mtuhumiwa kwa mawe..Swali tunauliza JE,mtu kama huyu aliyechukua maamuzi magumu kama haya wewe unamtafsiri vipi?
TOA MAONI

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

JE WAJUA FAIDA YA BAKING SODA KWA AFYA YAKO

PICHA ZA UCHI NI SHIDA KWA JOGOO WAKO!!!