Mtanzania akamatwa na dawa za kulevya india
Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya nchini India, imemkamata Mtanzania Brayton Lyimo katika uwanja wa ndege wa Indira Gandhi (IGI) akisafirisha kilogramu 4.8 za heroin zenye thamani sawa na shilingi 351 milioni. Lymo anatajwa kama sehemu ya mtandao wa wauza madawa wa Kiafrika.
Comments
Post a Comment