WATU 400 HULIWA NDANI YA SIKU TANO
PLAY FOR SYRIA; WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU MMENDA WAPI,WATETEZI WA HAKI ZA WATOTO MBONA HATUWASIKII...!!
NANI ATAKAE SIKIA SAUTI ZETU...? KWELI SAUTI ZETU NI FUPI KIASI HIKI...!!!
WATOTO WA SYRIA TUNAHAKI YA KUISHI KAMA WATOTO WENGINE.
Tumepoteza familia zetu Baba,Mama,Dada na kaka. Kosa letu kuzaliwa Syria...???
Umoja wa Mataifa mbona mpo kimya Vyonbo vya habari,Wandishi wa habari,Wanadiplomasia pazeni sauti zenu.
Tunahitaji amani,Elim na Kutimiza ndoto zetu kama watoto.
Comments
Post a Comment