Sifa zilizo mfanya kuwa mchezaji bora Sargio wa EPL Sargio Aguero

Staa wa soka wa kimataifa wa Argentinaanayecheza Man City ya England Sergio Aguero February 16 2018 ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu England EPL, hiyo ikiwa ni mara ya tano kwa yeye kushinda tuzo hiyo katika maisha yake ya soka.

MenuTop Stories Habari za Mastaa Breaking News Michezo AyoTV Magazeti Kurasa -Bio -Contact -Matangazo -#0 (no title)  Mkito Videos Mpya

Takwimu zilizomuwezesha Aguero kushinda tuzo ya tano EPL

Staa wa soka wa kimataifa wa Argentinaanayecheza Man City ya England Sergio Aguero February 16 2018 ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu England EPL, hiyo ikiwa ni mara ya tano kwa yeye kushinda tuzo hiyo katika maisha yake ya soka.

Aguero ametangazwa mchezaji bora wa Ligi Kuu England wa mwezi January katika mwezi huo akicheza jumla ya game nne na kufanikiwa kuifungia Man City jumla ya magoli matano akiwa na wastani wa kufunga goli moja kila game, ushindi wa tuzo hiyo unamfanya Aguerokuungana na Robin van Persie na Wayne Rooney waliowahi kushinda tuzo hiyo mara 5.

Sergio Aguero alianza mwaka 2018 kwa kufunga goli moja katika ushindi wa Man City wa 3-1 dhidi ya Watford, akatoa pasi ya goli Man City ikipoteza dhidi yaLiverpool 4-3, akafunga hat-trick dhidi yaNewcastle ushindi wa 3-1, akafunga goli katika ushindi wa 3-0 dhidi ya West Brom

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

JE WAJUA FAIDA YA BAKING SODA KWA AFYA YAKO

PICHA ZA UCHI NI SHIDA KWA JOGOO WAKO!!!