Kamanda wa polisi Kigoma athibitisha kutokea kwa ajali ya Treni

Leo February 28, 2018 Treni ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoani Dodoma kuelekea Kigoma imepata ajali katika Kijiji cha Mpeta wilaya ya Uvinza.

Ajali hiyo imesababishwa na kichwa cha treni kuacha njia na kusababisha mabehewa mawili kuanguka katika dimbwi dogo la maji.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Martin Othieno amesema hadi sasa hakuna taarifa za kutokea kwa vifo wala idadi ya majeruhi.

Via Azam

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

JE WAJUA FAIDA YA BAKING SODA KWA AFYA YAKO

PICHA ZA UCHI NI SHIDA KWA JOGOO WAKO!!!