Baraza jipya la Mawaziri Rais Ramaphosa arudisha waliotenguliwa na Zuma

 Baraza jipya la Mawaziri Rais Ramaphosa arudisha waliotenguliwa na Zuma

Usiku wa leo February 27, 2018 Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza baraza lake jipya la Mawaziri ikiwa ni baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Jaco Zuma.

Waziri wa zamani wa fedha Nhlanhla Nene ameteuliwa tena kushika nafasi hiyo. Nene alifukuzwa  kazi December, 2015 na Rais wa zamani Jacob Zuma na nafasi yake ikachukuliwa na Des van Rooyen.

Baada ya kufukuzwa Nene Palipotokea anguko la thamani ya randi na Zuma alilazimika kumfukuza Rooyen na kumteua Pravin Gordhan, siku nne baadae ambaye pia alimfukuza kazi baadae. Katika baraza laRamaphosa, Gordhan amerejea kama waziri wa masuala la biashara

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

JE WAJUA FAIDA YA BAKING SODA KWA AFYA YAKO

PICHA ZA UCHI NI SHIDA KWA JOGOO WAKO!!!