R.I.P. Mwanafunzi aliepigwa risasi kinondoni
R.I.P.Mwanafunzi aliepigwa risasi kinondoni
Mwanafunzi aliepigwa risasi jana kinindoni na polisi akiwa kwenye daladala baada ya risasi hiyo kumkosa mwenyekiti wa kambi ya upinzani hatimae kumfustia bint Aqlina.
Wakati chadema wakiwa wanaelekea kwenye ofisi ya mkulugenzi kufuatilia kumshinikiza kutoa viapo kwa mawakala ndipo walipokuwa njiani wakavamiwa na polisi wakilipua mabom ya machozi na risasi moto.
Virugu hizo ndiyo chanzo cha Aqlin kupoteza maisha
Aqlin Mungu akupumzishe kwa amani na mwanga wa milele Mungu akuangazie Amen
Comments
Post a Comment