Mwanasayans ashindwa kufaham DNA

#FAHAMU Wanasayansi wameshindwa kufahamu DNA ya watu wa jamii ya Melanesians ambao wanapatikana Kusini mwa bahari ya Pacific na kaskazini mwa Australia, ikiwemo Vanuatu, visiwa vya Solomon, Fiji, na Papua New Guinea.

Watu hao ambao ni weusi, baadhi wana nywele za blonde (kama za kizungu kabisa, lakini weusi kama wabongo) na macho ya blue, mpaka sasa haijajulikana asili ya wao kuwa hivyo, huku ikifahamika maeneo hayo asili yake ni watu weupe.

Comment chochote kisha share na wana.

Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

JE WAJUA FAIDA YA BAKING SODA KWA AFYA YAKO

PICHA ZA UCHI NI SHIDA KWA JOGOO WAKO!!!