MTOTO WA DJ KHALED APATA DILI
Hii ni kutoka nchini Marekani ambapo Djna Producer maarufu nchini humo Dj Khaled amempongeza mtoto wake wa kwanza wa kiume Asahd kwa kubahatika kuwa balozi wa brand ya viatu vyaJordans pamoja na nguo akiwa na umri wa mwaka mmoja.
Asahd akiwa na umri mdogo ameweza kumilikishwa baadhi ya vitu vya baba yake ikiwemo Record Label ya “We The Best” na kufikia hadi kumiliki ofisi yake mwenyewe katika studio hiyo akiwa bado mdogo.
Comments
Post a Comment