DIWANI WA CHADEMA AUWAWA

BREAKING NEWS
DIWANI WA CHADEMA AUWAWA
Habari za sasa hivi. Diwani wa chadema kata ya Namwawala Godfrey Luena ameuawa muda huu nyumbani kwake kwa kukatwakatwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. polisi ndo wanaelekea huko.R.I.P. LUENA R.I.P

https://ngomakabwe.blogspot.com/2018/02/profesa-lipumba-amelaumu-uamuzi-wa-cuf.html

Taarifa za awali zinasema kuwa usiku huu umeme ulikatika katika nyumba yake. Luena akatoka nje kutizama kama kuna shot maana nyumba za jirani zilikuwa na umeme. Alipozunguka nyuma ya nyumba yake kukagua umeme akakutana na kikosi cha watu wenye mapanga wakamkatakata hadi kufa.
#DuniayakoUpdate








Comments

Popular posts from this blog

DALA YA KISHETANI NA USHOGA EP. 5

JE WAJUA FAIDA YA BAKING SODA KWA AFYA YAKO

PICHA ZA UCHI NI SHIDA KWA JOGOO WAKO!!!